Mfanyakazi wa ndani auawa Uarabuni na mwili wake kutupwa chini ya gari

Mfanyakazi wa ndani auawa Uarabuni na mwili wake kutupwa chini ya gari

Hii nchi ya Lebanon,inatumia lugha ya kiarabu, na english ,lakini ina mchanganyiko wa makabila mengi duniani.Hata kiarabu chao ni mchanganyiko wa lugha tofauti.

Na wanafuata utamaduni wa kizungu zaid,kuliko wa kiarabu,kuanzia mavazi,chakula,maisha,harusi zao,shule zao,uzungu ni mwingi kuliko uarabu.Hata waislamu walioko Lebanon,kuwajuwa kama ni waislamu,uwe mwenyeji sana.
Ipo Western Asia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi ya Lebanon,inatumia lugha ya kiarabu, na english ,lakini ina mchanganyiko wa makabila mengi duniani.Hata kiarabu chao ni mchanganyiko wa lugha tofauti.Na wanafuata utamaduni wa kizungu zaid,kuliko wa kiarabu,kuanzia mavazi,chakula,maisha,harusi zao,shule zao,uzungu ni mwingi kuliko uarabu.Hata waislamu walioko Lebanon,kuwajuwa kama ni waislamu,uwe mwenyeji sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatetea nini Kikwajuni one ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuki imekukaa kwenye damu dadaa,,,Muogope bac Mwenyezi Mungu maisha ni mafupi sanaa,,,
Huna point unamleta mwenyezimungu.
Hiyo map inaonyesha distribution of gene J. Watu wenye hiyo gene wana uarabu. the more red the colour the more gene J certain people have. Sasa mbona pemba haipo hapo [emoji28][emoji23].
InShot_20200326_071314154.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi ya Lebanon,inatumia lugha ya kiarabu, na english ,lakini ina mchanganyiko wa makabila mengi duniani.Hata kiarabu chao ni mchanganyiko wa lugha tofauti.Na wanafuata utamaduni wa kizungu zaid,kuliko wa kiarabu,kuanzia mavazi,chakula,maisha,harusi zao,shule zao,uzungu ni mwingi kuliko uarabu.Hata waislamu walioko Lebanon,kuwajuwa kama ni waislamu,uwe mwenyeji sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ni kweli kabisa
 
Tatizo visa vya waarabu kuwatesa waafrika ni vingi sana, bado wanatuchukulia ngozi nyeusi kama watumwa wao.

Mkuu,,,Kama visa gani kwa mfano! Maana hata cc uku 2natesana tena co kidogo,,,nenda tarime kajionee wanavyokatana mapanga na kuchomeana manyumba na mashamba,,,mahousegirl wanateswa na mishahara wanayopewa ni kidunchu,,,albino wanauawa,,vikongwe kuuawa,,wazazi wanamchizisha mwanao kisa wapate utajiri,,haya yote ni mateso tena yamepitiriza kiwango.

Upande wa ku2chukulia ngozi nyeuc kama wa2mwa co kweli ni mawazo yako,,cc ngozi nyeuc huwa 2nahisia tofauti sana,,2nahic kubaguriwa, kudharauliwa,,kutengwa,,kujiona ha2thaminiwi,,hii ki2 mbaya sana na imetuathiri kisaikolojia coz 2shajijengea ivyo,,,,,ckatai hawapo may be wakawepo wa sampuli iyo na waco fuata mafundisho ya dini,,,anaefata mafundisho ya dini awezi fanya huo ujinga,,,,,Hata huku kwe2 mbona kuna makabila yanajiona wao ndio special kuliko makabila mengine,,,mfano wasukuma, wanavyodharauliwa na kuchukuriwa kama wa2mwa wa makabira mengine,,ukija ukanda wote wa afrika 2nabaguana wenyewe kwa wenyewe ata uarabuni ivyo ivyo. Lakini ukisoma dini na ukaifata kama ilivyo hutafanya huo ujinga.
 
Ndivyo mnavyofundishwa makanisani eti! 😁😁 kumbe mzungu hajakosea kutuita sokwe eti!! Maana akili zetu kidogo zinataka kfanana na kile kiumbe,,,
hahaa, wee malamba makalio ya Waarabu, hapa tunataja unyma wanaofanyiwa wafanyakazi na Waarabu wewe unaleta mambo sijui ya kanisani, Wazungu yanahusiana vipi? Dah nyie watu sijui Waarabu waliwaloga kwa uchwi gani, au mnavyoinama na kugongesha vichwa vyenu ardhini huwa inaharibu ubongo?
 
Huna point unamleta mwenyezimungu.
Hiyo map inaonyesha distribution of gene J. Watu wenye hiyo gene wana uarabu. the more red the colour the more gene J certain people have. Sasa mbona pemba haipo hapo [emoji28][emoji23].View attachment 1399650

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbe najibishana na mpagani 😁😁 Huamini uwepo wa Mungu sio? Kama ni ivyo Pole sana dada

Ushauri wangu kwako na kwa wengine "ili mambo yanu yawanyookee acheni chuki za kipumbavu kwa binadamu wenzenu! Allah hapendi mfanyavyo,
 
Mkuu,,,Kama visa gani kwa mfano! Maana hata cc uku 2natesana tena co kidogo,,,nenda tarime kajionee wanavyokatana mapanga na kuchomeana manyumba na mashamba,,,mahousegirl wanateswa na mishahara wanayopewa ni kidunchu,,,albino wanauawa,,vikongwe kuuawa,,wazazi wanamchizisha mwanao kisa wapate utajiri,,haya yote ni mateso tena yamepitiriza kiwango.

Upande wa ku2chukulia ngozi nyeuc kama wa2mwa co kweli ni mawazo yako,,cc ngozi nyeuc huwa 2nahisia tofauti sana,,2nahic kubaguriwa, kudharauliwa,,kutengwa,,kujiona ha2thaminiwi,,hii ki2 mbaya sana na imetuathiri kisaikolojia coz 2shajijengea ivyo,,,,,ckatai hawapo may be wakawepo wa sampuli iyo na waco fuata mafundisho ya dini,,,anaefata mafundisho ya dini awezi fanya huo ujinga,,,,,Hata huku kwe2 mbona kuna makabila yanajiona wao ndio special kuliko makabila mengine,,,mfano wasukuma, wanavyodharauliwa na kuchukuriwa kama wa2mwa wa makabira mengine,,ukija ukanda wote wa afrika 2nabaguana wenyewe kwa wenyewe ata uarabuni ivyo ivyo. Lakini ukisoma dini na ukaifata kama ilivyo hutafanya huo ujinga.

Nimekuelewa.
 
Kuna mmoja nilisoma story yake kwenye gazeti. Anatoka Nigeria, baada ya kufanya kazi miezi 24 Dubai aliweza kurudisha nauli iliyompeleka na akafungua mgahawa kwao. Sasa ni boss kwenye mgahawa wake.
story za kusadikika izo
 
Ooooh too bad

Sent using Jamii Forums mobile app
Vituko wanavyofanyiwa hawa mabinti wa kazi za ndani ni vingi sana. Ukiacha kunyimwa fursa ya kutumia simu, kurudisha harama zote za kumsafirisha toka kwako hadi huko (PASSPORT, VISA, TICKET YA NDEGE). Pia watumika kuwastarehesha wanaume! Hapa Tanzania mabinti wengi wanapitia kwa madalali ambao wako upande wa Kenya hasa Tarekea na Holili
 
Dah, wadada wanaambiwa kila siku msiende msiende uko kuna ukatili unaotisha lkn hawataki kukubali. Dah!!, watu wana roho za ajabu sana, kukosa kuthamini uhai wa mtu.
 
Wanatoak kimaisha kwa kufanykazi za ndani ni wachache sana, wengi wao wanaishia kunyanyaswa
Lakini hata hapa Tanzania kama kuna mtu atafanya study ya maisha ya wafanyakazi wa ndani , anawezakpata taarifa ambazo zitasikitisha sana. Maana ukatili uko kila mahali iwe Ulaya, Amerika, Asia au Afrika
 
Back
Top Bottom