Lebanon ina mchanganyiko wa makabila mengi sana,wapo watu wanaotoka North America,South America,Europe,Australia na Africa pia wapo.Waislamu wa Suni ni kama 27% ya wakazi wote.Wakristo wanakaribia 40%,na wengine ni dini nyingine ziko.Lebonon mda mrefu,ilikuwa kimbilio la wakimbizi kutoka nchi mbali mbali duniani.Armeanias,Kurds,Turks,Assyrians,Iranian, Greeks,Italians,French.Kiingereza kinazungumzwa sana na kiarabu,kiarabu chao kina mchanganyiko na lugha za kizungu.Lebonon ni uzungu mwingi kuliko uarabu,na nchi iko Asia,japo inahesabika ni ya mashariki ya kati.
Sent using
Jamii Forums mobile app