Mfanyakazi wa ndani auawa Uarabuni na mwili wake kutupwa chini ya gari

Mfanyakazi wa ndani auawa Uarabuni na mwili wake kutupwa chini ya gari

Mkuu
Ni kwel,labda naona hoja yangu imekuwa ya mjumuisho zaid lakin nilichokuwa naanisha si wote wanaoenda hawafanikiwi,
Ila kuna baadhi wanafanikiwa na pia kina nafasi za kazi ambazo zina mateso zaid.mfano
Ukipata nafasi kama ya udereva kwa dubai watu wanapata rizik nzur sana kuliko kuwa mfanyakaz wa ndani,pia security.
Hizi ni baadh tu.
Pia kwa upande mwingine,kwa nchi za ulaya napo si zote,naelewa.
Asante, na huo ndio uchambuzi makini toka kwa mtu ambaye fikra yake iko huru.
 
Wewe nae walewale tu....hujui ila unakisia tu...mimi nina ushuhuda kutoka kwa watu mbalimbali waliokuwa huko...tena kheri uwe muislamu ukiwa mkristo ndo utapata ugumu zaidi....najua unawatetea kisa dini moja ila ujue ni ujinga tu unatetea.
Acha fikra mgando kijana, manyanyaso/ukatili huwa haviangalii dini ya mtu.

Chanzo cha manyanyaso ni dharau; kuona kuwa taifa, tabaka au jamii fulani ni duni.
Msingi wa wanaonyanyasa sio dini.
 
Suluhu hapa ni viongozi wa Kiafrica kuboresha standard ya maisha ya watu wake ili waweze kuishi vizuri na kuondoa kabisa wimbi la watu masikini... Viongozi wa Kiafrica wanapaswa kulinda maisha ya watu wao na kuwatengenezea mazingira mazuri ya kuishi ili jamii iache kuteseka.
 
Acha fikra mgando kijana, manyanyaso/ukatili huwa haviangalii dini ya mtu.

Chanzo cha manyanyaso ni dharau; kuona kuwa taifa, tabaka au jamii fulani ni duni.
Msingi wa wanaonyanyasa sio dini.
Tatizo huelewi wewe...Pointi yangu ya chanzo cha manyanyaso ni ubaguzi wa rangi ipo palepale...Ila ukiendana nao dini itakupunguzia risk... Wazoefu wamenielewa ila wewe wakugoogle huwezi nielewa.
 
Halafu huyu hapa mfanyakazi wa nyumbani, aliyeuawa na bosi wake msaudi kisha polisi wakamkamata bosi huyo muuaji, je ni mzungu huyo mfanyakazi?

Uwe watumia ubongo kufikiria nje ya boxView attachment 1398934.
The suspects also seriously injured his wife..

Kwa mlolongo wa matukio ya unyanyasaji wanayofanyiwa watumishi weusi huko bila wahusika kuchukuliwa hatua halafu unakutana na statement kama hiyo hapo juu kama una akili timamu lazima utagundua kitu.
 
View attachment 1398941
Someni hiki kitabu kinaeleza mengi
Ni vema kujisomea habari za utumwa kwa upana wake.

Nyingine hizi hapa, ikijastify uduni wa muafrika kupitia maandiko matakatifu.

2020-03-25 12.55.17.png


Pia kuna hii reaearch article wanaweza kuitafuta wapanue ufahamu mpana zaidi.
2020-03-25 13.00.30.png
 
Tatizo huelewi wewe...Pointi yangu ya chanzo cha manyanyaso ni ubaguzi wa rangi ipo palepale...Ila ukiendana nao dini itakupunguzia risk... Wazoefu wamenielewa ila wewe wakugoogle huwezi nielewa.
Bora mie wa kugoogle ila nakwekea facts mezani.

Ila mwenzangu kila unaloliongelea unashindwa kulisimamia, unaongelea kwa kusikilizishwa redio mtete au kwa kunyweshwa (kumezeshwa) tu kibubusa (pasi kuhoji).
 
Panua maarifa yako na upembuzi wa mambo. Kama muindonesia (ambaye pia ni masikini mwenzetu na kazi yake ilikuwa kufanya kazi za ndani kama hao wabantu unaowazungumzia) aliyenyanyaswa hatua zikachukuliwa itawezekana vipi akosekane mbantu aliyepata haki zake?

Umefatilia kesi zote za wabantu mahakamani ukaona sheria haikuchukua mkondo? Hawakupata haki zao?

Kitu ambacho huzifanya mamlaka za nchi nyingi kutowapatia haki wafanyakazi wa ndani ni dhana ya ubora wa raia wao juu ya watu wengine hasa toka nchi masikini zikiwemo hizo za waafrika, Latin Amerika na nyingine za Asia.

Na huu ni mfano mwingine wa wanandoa nchini Kuwait ambao mamlaka ya Kuwait iliwauawa baada ya wao wanandoa umuua mfanya kazi wa ndani.

Jambo la msingi: usipende kuelezea mambo kwa ujumla pasi na kuwa na data za kutosha.
View attachment 1398915
You are talking out of ignorance ......hujui ubaguzi wa waarabu kwa wa Africa......just shutup, hao wa indonesia wa philipino mshahara wao ni tofouti na wa Africa wakati wanafanya kazi ile ile, wanapokea dhiraham 1200 hadi 2000 kwa mwezi mwa Africa analipwa dhiraham 500 hadi 1000, kwa kazi ile ile ya house maid.

mwa Africa ukienda police kumshitaki boss wake kwasababu ya manyanyaso au kutolipwa, nakamatwa na kupelekwa 'deportation centre' bila hata kulipwa stahiki zake au anapigiwa boss wako simu kukuijia na anakupinga mbele ya police paka basi....hasa Saudi arabia Oman UAE tabia ni ile ile.....zote wa Arabi ni wanyama,
Mimi si shauri bint yoyote kuenda hata maisha ya kiwamagumu kivip hapa kwetu ni pazuri ni suala la kubadili mindset yako tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are talking out of ignorance ......hujui ubaguzi wa waarabu kwa wa Africa......just shutup, hao wa indonesia wa philipino mshahara wao ni tofouti na wa Africa wakati wanafanya kazi ile ile, wanapokea dhiraham 1200 hadi 2000 kwa mwezi mwa Africa analipwa dhiraham 500 hadi 1000, kwa kazi ile ile ya house maid.

mwa Africa ukienda police kumshitaki boss wako unakamatwa unapelekwa deportation centre bila hata kulipwa stahiki zako au anapigiwa boss wako simu kukuijia na anakupinga mbele ya police paka basi....hasa Saudi arabia Oman UAE tabia ni ile ile.....zote wa Arabi ni wanyama,
Mimi si shauri bint yoyote kuenda hata maisha ya kiwamagumu kivip hapa kwetu ni pazuri ni suala la kubadili mindset yako tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwingine huyo aongelea vitu kiujumla jumla.

Kutofautiana malipo inategemea na mikataba na maajenti wanao wapeleka huko. Katika dunia ya sasa, maajenti ktk kila fani huwa wanawalalia watu. Kiwango cha kulalia kinatofautiana toka nchi moja hadi nyingine.

Hata kazi nyinginezo ktk nchi nyinginezo zilizoendelea zaidi, nimeshuhudia muafrika akifanya kazi A na mzungu afanya kazi A lakini malipo yao ni tofauti kabisa.

Hata nchini Tanzania, daktari mtanzania bingwa anayetibu hospitali B, na kisha akawepo daktari (pengine hata hajakamilishamafunzo hayo kwao) mzungu akitibu hospitali hiyo hiyo B, lakini malipo huwa wanatofautiana, umbali wa mashariki na magharibi, mzungu apendelewa, tena na taasisi za waafrika. Naongea hili kwa uzoefu wangu.

Nchi zote za waarabu ni wanyama? Kauli za hivi hazitoki ila kwa mtu mpumbavu.
-Hivi ni kipi ambacho waarabu wakifanya halafu waafrika wao kwa wao hawafanyiani?
-Si ndio nyie mwauana kwa kumiminiana risasi kwa tofauti tu za mitazamo
-Si ndio nyie mwaua watu kwa halaiki mkidhani ima mtusi ni bora au muhutu ni bora yamwingine?

Point ya msingi uliyoongea hapo ni moja tu; kutokubali mabinti kwenda fanya kazi za ndani huko uarabuni.

Mifano halisi ya waafrika kwa wafrika.

1. Mauaji ya halaiki ya waafrika kwa wiafrika huko Rwanda (watu laki nane; 800,000 waliuawa ndani ya siku 100 tu, yaani wastani wa watu 8,000 waliuawa kwa siku?!)

2020-03-25 13.44.01.png




2. Huko Burundi nako hawakuwa nyuma waafrika ktk kuuana kwa idadi za juu kabisa, bila kujali jinsia, mtoto mchanga wala mimba.

2020-03-25 13.38.21.png
 
hao wa indonesia wa philipino mshahara wao ni tofouti na wa Africa wakati wanafanya kazi ile ile, wanapokea dhiraham 1200 hadi 2000 kwa mwezi mwa Africa analipwa dhiraham 500 hadi 1000, kwa kazi ile ile ya house maid.

Halafu hizo data za mishahara hiyo ya dirham 500 ni za miaka gani? Huwenda ikawa ni stori za kijiweni.

Mshahara wa mwafrika afanyae kazi za ndani huko saudia ni zaidi ya 1300 UAE dirham, ambazo ni sawa na KSH 40,000 sawasawa na TSH 867,000 na hapo bia kuna allowance za overtime. Na hii ni kwa mwaka jana. (Angalia screenshot mazungumzo ya maafisa wa Kenya na Saudia juu ya mishahara hiyo hapa chini). Unafikiri hiyo pesa zaidi ya laki 8 nani atakulipa hapa Bongo kwa kumfanyia kazi za ndani?

Si ndio nyie mwawalipa wafanyakazi za ndani TSH 40,000 hadi 50,000? Na mnajiita mabosi ati?

Hata mwalimu wa sekondari (huenda ndio bosi mwenyewe) hapati hiyo laki 8.5 kwa mwezi Tanzania. Labda shule chache za private, na ukipewa watumika hasa.

2020-03-25 14.29.20.png


Na hapa nakuwekea scale ya sasa ya mishahara ya wafanyakazi wa nyumbani huko Saudia. Wastani wa malipo ni SAR 10,787 (hizo ni zaidi ya TZS milioni 6.6).
Malipo yanatofautiana baina ya wafanyakazi kulingana na uzoefu wa kazi. Wakati asilimia 10 ya wafanyakazi hao wanalipwa takriban 1000 SAR (TSH laki 6.1) nje ya bonus, na asilimia 90 wanalipwa 25000 SAR (TZS milioni 15.3).

Na ndio maana hawa waafrika mbalina manyanyaso yanayoripotiwa utaona hawaachi kwenda kujaribu bahati zao huko.

2020-03-25 14.30.37.png
 
Ukileta ushahidi wa Mwarabu mmoja tu aliyechukuliwa hatua na kesi kutolewa hukumu nipigwe ban ya maisha.


Nawewe pia naomba huo ushahidi wa huyo dada kama nikweri hajachukuliwa ha2a. Ucfikiri kule ni bongo uchafu mwingi,, kule sheria zinafatwa co holelaholela tu.



Yanini unapindisha pindisha sentence kijana...Sema tu hivi👉🏿 2nawachukia saana waarabu,ha2wapendi, makatiri, mashetani, walitesa babu ze2" ila wazungu wana2penda sana hata wakituita Nyani sawa tu, wazinzi sawa tuu, co wa2 wa kufanya kazi sawa tuuu, ku2piwa maganda ya ndizi sawa tuuu,,,

haya ndio mawazo ye2 kila kukicha kufikiria vi2 vya kijinga ambavyo havina mantiki wala faida yotote kwe2. 2fanyeni kazi 2lishe familia zetu,,tuacheni chuki,, midomo na kununa.

Ndiomana hatuendelei kimaisha.
 
Jiulize waarabu waliwachukua wafrika wengi sana kwenye utumwa kama vijakazi lakini hakuna waarabu weusi uko kwao kwann mbona marekani wapo ulaya wapo south america wapo na wamejichanganya vizuri tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kuna mpunga mrefu, hata tupige kelele vipi watu wataendelea kwenda jaribu bahati zao. Mdada wa kazi alipwa zaidi ya mshahara wa mwalimu mwenye degree Tanzania (aliyesoma zaidi ya miaka 15) halafu utamweleza nini?
Riski ni kubwa mno.....
 
View attachment 1398941
Someni hiki kitabu kinaeleza mengi

Mwenye akili zake hawezi kuamini huu utumbo uliou2ma,,,icpokua wajinga ndio huamini. Nackitika sana kuona weuc wenzangu wakipotoshwa na mabeberu 😁😁

Hivyo vikatuni vyako ningeomba uwawapelekee nyumbani kwenu au gengeni ndio utawakamata,, tunaojielewa hu2pati. kwanza kipindi icho hakukua na camera wala vidcamera,,,,
 
Back
Top Bottom