The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Hapo sio Uarabuni mkuu , hapo ni Lebanon , Uarabuni Ni UAE ( Dubai)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajira hakuna, watakula nini Sasa ?Mbali na yote hayo wasichana tumekuwa hatujifunzi kwani si ajabu limetokea hili lakini yupo mwingine anasubiria Corona iishe aende akafanye hizo hizo kazi za ndani.
Uko sahihi sana Tena hiyo Ni juzi juzi tuMsisahau yule mama wa kibongo aliyepiga housegirl mpaka akaua,
Hakuna cha mwarabu hapa, binadamu ni walewale
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa , Kama yule Dada wa Arusha aliyeua house girlWana roho mbaya hawa binadamu
Hawaaa wanajichanganyaaagaa na WENYE nyumbaa WENGI wanatembea NaooMfanyakazi wa ndani mwenye asili ya Kiafrika Faustina Tay aliyekuwa akifanya kazi nchini Lebanon amekutwa amefariki baada ya kutuma ujumbe kuwa alikuwa akinyanyaswa
Mfanyakazi huyo raia wa miaka 18 kutoka Ghana kabla ya kifo chake alituma ujumbemfupi kwa wanaharakati wa kutetea wafanyakazi wa ndani, na masaa 18 baadae mwili wake ukakutwa chini ya Gari, uchunguzi unaonyesha kuwa alisukumwa juu ya ghorofa na kubamiza kichwa
Nchi ya Lebanon ina wafanyakazi wa ndani wapatao 250,000 na inakadiriwa wafanyakazi wawili hufa kila wiki lakini Serikali haifuatilii mauaji hayo
Chanzo: Al Jazeera
The desperate final days of a domestic worker in LebanonView attachment 1398705
Elizabeth Tay akielezea mateso yake kwa njia ya video
View attachment 1398704
Elizabeth Tay siku aliyowasili Lebanon akitokea Ghana
Hata hizo nchi za Botswana na Namibia, pia kuna raia wake wanafanya kazi za ndani na bado wanapata manyanyaso na malipo madogo tena kwa raia wenzao.Ni shida tu, kungekua na ajira Afrika wala usingewaona huko. Umeshawahi kusikia Botswana na Namibia raia wao wanakua vijakazi Arabuni?
But they don’t go to Arab countriesHata hizo nchi za Botswana na Namibia, pia kuna raia wake wanafanya kazi za ndani na bado wanapata manyanyaso na malipo madogo tena kwa raia wenzao.
Hii hapa ni kwa Botswana
View attachment 1398846
Hii hapa chini ni kwa Namibia
View attachment 1398846View attachment 1398853
Ukishajua jina litakusaidia niniHueleweki! anaitwa Elizabeth au Faustina?
Yuko wapi sahivi huyo mama wa arusha? Hakuchukuliwa hatua kwan? Vipi huyo mlebanoni unahisi kachukuliwa hatua zozote?Siungi mkono haya yanayotokea lakini si ajabu Uzi huu watu wakatema povu sanaa kwasababu huyo dada kauliwa na mtu wa rangi nyingine lakini yule Mama wa Arusha tukachukulia poa kwakuwa ni Muafrika mwenzetu.
Unafiki sijui utatuisha lini sisi.
Sky, una hakika gani?But they don’t go to Arab countries
Nazungumzia hype na reactions za wadau wengi humu.Yuko wapi sahivi huyo mama wa arusha? Hakuchukuliwa hatua kwan? Vipi huyo mlebanoni unahisi kachukuliwa hatua zozote?
OkayNazungumzia hype na reactions za wadau wengi humu.
Yuko wapi sahivi huyo mama wa arusha? Hakuchukuliwa hatua kwan? Vipi huyo mlebanoni unahisi kachukuliwa hatua zozote?
Hapana mkuu yule wa Arusha Sasa hivi ananyea ndo na watu walimwaga povu la hatari so shida ya wale wenzetu akiuwawa hata amsikii hatua zozote zikichukuliwa kwa muuwaji,yaani anauliwa Kama paka tu,hapa hizi serkali za kiafrika zinatakiwa kuungana kwenye suala Kama hili hatua ziwe zinachukuliwa dhidi ya wauajiSiungi mkono haya yanayotokea lakini si ajabu Uzi huu watu wakatema povu sanaa kwasababu huyo dada kauliwa na mtu wa rangi nyingine lakini yule Mama wa Arusha tukachukulia poa kwakuwa ni Muafrika mwenzetu.
Unafiki sijui utatuisha lini sisi.
Well said, understood!Hapana mkuu yule wa Arusha Sasa hivi ananyea ndo na watu walimwaga povu la hatari so shida ya wale wenzetu akiuwawa hata amsikii hatua zozote zikichukuliwa kwa muuwaji,yaani anauliwa Kama paka tu,hapa hizi serkali za kiafrika zinatakiwa kuungana kwenye suala Kama hili hatua ziwe zinachukuliwa dhidi ya wauaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Easy man!Unafikir utaniumiza kwa matusi yako,wala..Kutumia matusi inamaanisha umeshindwa kabisa kuelewa na kujibu hoja zangu...na mimi nafurahia sababu inaonyesha kuna watu nimewaacha maili nyingi hapa jf... Kizuri ni kuwa hayo matusi yako hayana athari zozote kwangu ila maneno yangu yamekuathiri pakubwa ndo maana ukashindwa vumilia ukatukana... Hivyo endelea tu.