Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waafrica sijui wataelewa lini na kuacha kwenye uarabuni kufanya kazi kwa mashetani.Mfanyakazi wa ndani mwenye asili ya Kiafrika Faustina Tay aliyekuwa akifanya kazi nchini Lebanon amekutwa amefariki baada ya kutuma ujumbe kuwa alikuwa akinyanyaswa
Mfanyakazi huyo raia wa miaka 18 kutoka Ghana kabla ya kifo chake alituma ujumbemfupi kwa wanaharakati wa kutetea wafanyakazi wa ndani, na masaa 18 baadae mwili wake ukakutwa chini ya Gari, uchunguzi unaonyesha kuwa alisukumwa juu ya ghorofa na kubamiza kichwa
Nchi ya Lebanon ina wafanyakazi wa ndani wapatao 250,000 na inakadiriwa wafanyakazi wawili hufa kila wiki lakini Serikali haifuatilii mauaji hayo
Chanzo: Al Jazeera
The desperate final days of a domestic worker in LebanonView attachment 1398705
Faustina Tay akielezea mateso yake kwa njia ya video
View attachment 1398704
Faustina Tay siku aliyowasili Lebanon akitokea Ghana
Hapana mkuu yule wa Arusha Sasa hivi ananyea ndo na watu walimwaga povu la hatari so shida ya wale wenzetu akiuwawa hata amsikii hatua zozote zikichukuliwa kwa muuwaji,yaani anauliwa Kama paka tu,hapa hizi serkali za kiafrika zinatakiwa kuungana kwenye suala Kama hili hatua ziwe zinachukuliwa dhidi ya wauaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hao wafilipino na wa Indonesia wao walikuwa wafanya kazi za ofisini?Tunaongelea kuhusu watu weusi we unaleta waarabu wa Indonesia na wafilipino si uwendawazimu huo.
Waafrica sijui wataelewa lini na kuacha kwenye uarabuni kufanya kazi kwa mashetani.
Na hapo dawa yao ni kuchoma ubalozi wa lebanon uliopo ghana
Mataifa mengi ya uarabuni si yakufanya kazi..Kuna mmoja nilisoma story yake kwenye gazeti. Anatoka Nigeria, baada ya kufanya kazi miezi 24 Dubai aliweza kurudisha nauli iliyompeleka na akafungua mgahawa kwao. Sasa ni boss kwenye mgahawa wake.
Kwa hiyo hao wafilipino na wa Indonesia wao walikuwa wafanya kazi za ofisini?
Halafu hujui hata ni nchi zipi ndio raia wake wanaongoza kwa kwenda kufanya kazi huko uarabuni.
Narudia tena, panua wigo wako wa kufikiria, epuka kuongelea mambo kiujumla jumla.
Lete maegemezo yako kuwa kesi zote za watu weusi walionyanyaswa huko Uarabuni hazi kushughulikiwa.
Halafu huyu hapa mfanyakazi wa nyumbani, aliyeuawa na bosi wake msaudi kisha polisi wakamkamata bosi huyo muuaji, je ni mzungu huyo mfanyakazi?Tunaongelea kuhusu watu weusi we unaleta waarabu wa Indonesia na wafilipino si uwendawazimu huo.
Hebu tuishie hapa mzee...sababu jambo lipo wazi wewe unaleta irrelevant things... Tuishie hapa coz sitakujibu tena. mKwa hiyo hao wafilipino na wa Indonesia wao walikuwa wafanya kazi za ofisini?
Halafu hujui hata ni nchi zipi ndio raia wake wanaongoza kwa kwenda kufanya kazi huko uarabuni.
Narudia tena, panua wigo wako wa kufikiria, epuka kuongelea mambo kiujumla jumla.
Lete maegemezo yako kuwa kesi zote za watu weusi walionyanyaswa huko Uarabuni hazi kushughulikiwa.
Mataifa mengi ya uarabuni si yakufanya kazi..
Ni vile tu wa Africa hawasikii.
There's nothing there zaid ya mateso.
Wengi wa wadada hudanganywa kwenda kufanya kazi kwa kupata mishahara minono lakin mwisho wa siku huishia mikononi mwa madangulo,mateso na kibaya zaid huchukuliwa passport zao.
Unakuwa huna ujanja na unaishia kufanya ufusuka ili aliyekuleta arudishe pesa yake..
It is so sad.
Recruitment agency wengi huwalaghai lakin ukwel ni kuwa ni hatar zaid.bora ubak tz ufanye kibarua kuliko kwenda huko..
Ajira nzur ni zile za ulaya ambazo kwa sasa nazo ni ngumu sana kupata.wengi waliofanikiwa kwenda kule ni kuanzia mwaka 2000 had 2010 ndo maisha waliyaweza hata permanent resident walipata..
Hebu tuishie hapa mzee...sababu jambo lipo wazi wewe unaleta irrelevant things... Tuishie hapa coz sitakujibu tena.Kwa hiyo hao wafilipino na wa Indonesia wao walikuwa wafanya kazi za ofisini?
Halafu hujui hata ni nchi zipi ndio raia wake wanaongoza kwa kwenda kufanya kazi huko uarabuni.
Narudia tena, panua wigo wako wa kufikiria, epuka kuongelea mambo kiujumla jumla.
Lete maegemezo yako kuwa kesi zote za watu weusi walionyanyaswa huko Uarabuni hazi kushughulikiwa.
Hebu tuishie hapa mzee...sababu jambo lipo wazi wewe unaleta irrelevant things... Tuishie hapa coz sitakujibu tena. m
Mzungu anakutambua sokwe, mzinzi, co wa kufanya kazi,,,na ictoshe walitesa babu zetu hawa mashoga zako.
Mwarabu je? Acheni chuki za kijinga, ndio hufa mackini.
Umechambua vema tatizo la watu kwenda huko nchi za waarabu kufanya kazi.Mataifa mengi ya uarabuni si yakufanya kazi..
Ni vile tu wa Africa hawasikii.
There's nothing there zaid ya mateso.
Wengi wa wadada hudanganywa kwenda kufanya kazi kwa kupata mishahara minono lakin mwisho wa siku huishia mikononi mwa madangulo,mateso na kibaya zaid huchukuliwa passport zao.
Unakuwa huna ujanja na unaishia kufanya ufusuka ili aliyekuleta arudishe pesa yake..
It is so sad.
Recruitment agency wengi huwalaghai lakin ukwel ni kuwa ni hatar zaid.bora ubak tz ufanye kibarua kuliko kwenda huko..
Ajira nzur ni zile za ulaya ambazo kwa sasa nazo ni ngumu sana kupata.wengi waliofanikiwa kwenda kule ni kuanzia mwaka 2000 had 2010 ndo maisha waliyaweza hata permanent resident walipata..
Mkuu amekwelewa,mi nishamwambia aje na facts asije na maneno ya mtaani,nimpe pia facts zangu.ila akileta kelele hatutawezana..Hebu tuishie hapa mzee...sababu jambo lipo wazi wewe unaleta irrelevant things... Tuishie hapa coz sitakujibu tena.
MkuuUmechambua vema tatizo la watu kwenda huko nchi za waarabu kufanya kazi.
Ila natofautiana nawe kwa hiyo kusema wote hawatoki kimaisha. Nina fahamu watu wawili wako huko mmoja amefanya makubwa kwao. Mwingine yupo huko na zitokeapo shida za kifamilia huwa akisaidia familia yake.
Halafu hizo nchi za Ulaya zipi wazizungumzia maana umeongelea kwa ujumla jumla? Na kazi waziongelea zipi?
Uzuri wa bahati niliwahi ishi huko Ulaya na nafahamu pia manyanyaso yaliyopo huko. Lakini siwezi kujumuisha kuwa watu wote wa nchi fulani ya Ulaya wananyanyasa watu wengine.
Huwezi kujibu wa hoja, kwa sababu huna maarifa hayo ya kujenga hoja.Hebu tuishie hapa mzee...sababu jambo lipo wazi wewe unaleta irrelevant things... Tuishie hapa coz sitakujibu tena.
Chuki haijengi bali inabomoa,,,hapo Mwenzio anakuweka sawa,,,acha kuwa na akili kama za wenzio.