Panua maarifa yako na upembuzi wa mambo. Kama muindonesia (ambaye pia ni masikini mwenzetu na kazi yake ilikuwa kufanya kazi za ndani kama hao wabantu unaowazungumzia) aliyenyanyaswa hatua zikachukuliwa itawezekana vipi akodekane mbantu aliyepata haki zake?
Kitu ambacho huzifanya mamlaka za nchi nyingi kutowapatia haki wafanyakazi wa ndani ni dhana ya ubora wa raia wao juu ya watu wengine hasa toka nchi masikini zikiwemo hizo za waafrika, Latin Amerika na nyingine za Asia.
Na huu ni mfano mwingine wa wanandoa nchini Kuwait ambao mamlaka ya Kuwait iliwauawa baada ya wao wanandoa umuua mfanya kazi wa ndani.
Jambo la msingi: usipende kuelezea mambo kwa ujumla pasi na kuwa na data za kutosha.
View attachment 1398915