Juliusmujungu Senior Member Joined Mar 21, 2020 Posts 115 Reaction score 106 Apr 27, 2020 #221 Roho ya binadamu ni ngumu kuliko ya mnyama,na inasemekana binadamu ni hatali kuliko mnyama. Sent from my iPhone using JamiiForums
Roho ya binadamu ni ngumu kuliko ya mnyama,na inasemekana binadamu ni hatali kuliko mnyama. Sent from my iPhone using JamiiForums
Juliusmujungu Senior Member Joined Mar 21, 2020 Posts 115 Reaction score 106 Apr 27, 2020 #222 Mnyama unaweza kumkimbia lakini binadam awezi mkimbia akitaka kukupeleka kuzimu Sent from my iPhone using JamiiForums
Mnyama unaweza kumkimbia lakini binadam awezi mkimbia akitaka kukupeleka kuzimu Sent from my iPhone using JamiiForums
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Mar 21, 2021 #223 Umaskini tu jamani apumzike kwa amani
K kinyama nje JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 1,839 Reaction score 2,475 Mar 21, 2021 #224 Kuna ambae ni jirani wamempiga mande karudi wamekula Pande zote nikimuangalia naona aibu mimi
D Duksi JF-Expert Member Joined Mar 20, 2019 Posts 229 Reaction score 576 Mar 21, 2021 #225 Wanawake wanaofanya kazi za ndani uarabuni ni watumwa wa kisasa au wa hiari. Aidha nchi za kiafrika ziweke taratibu au utumwa huu kwa ujira kidogo utaendelea.
Wanawake wanaofanya kazi za ndani uarabuni ni watumwa wa kisasa au wa hiari. Aidha nchi za kiafrika ziweke taratibu au utumwa huu kwa ujira kidogo utaendelea.
Gatabhanya JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 2,644 Reaction score 5,178 Feb 24, 2025 #226 Washenzi sana hawa jamaa