Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Ni Tanzania pekee huwa naona mwizi au kibaka ndio hutajwa Jina gazetini lakini mbadhirifu wa serikali Jina linahifadhiwa Kwa uchunguzi zaidi wa polisi, halafu Rais anakwambia nina 4R's zangu ndo nasimamia still kwenye 4R's huna mkazo wowote Kwa walio chini yako
 
Dawa ni ku riot tu hamna namna hawa jamaa wamezidi yani inafikia mahala wengine tunakua kama sio watumishi wa umma vijana wetu andamaneni mtuokoe na huu usenge hali ni mbaya mnooooo
Tukishapigwa virugu muanze kutucheka tena na manundu yetu..
 
Mtumish ana milik 7Bi cash sio aset tuki plus na assets zake atakuw na. Total ngap, hawa wanasiasa vvip watakuw na Tilion
My tz my country
 
Hii ni bajeti ya Tarura mkoa mzima ,kwa zile barabara za changarawe😡😡 huyu ndio mhujumu uchumi sasa, sio zile kesi nyingine zilikuwa za kukomoana kipindi kile🤣🤣 tungetegemea huyu awe kisutu au korti ya mafisadi.
Huyo hafanywi chochote
 
TRA kuna pesa bhana, kunae mkaka wa mtaani kwetu, alimaliza UDBS 2017, mwaka juzi 2021 akapata kazi TRA huko Singida, jamaniiiiii.

Nyumba imejengwa week 3 kila kitu had fence. Sahivi ana ndinga Prado Tx, maisha kwake oyaah oyaah!! Bas vijana wa rika lake wananvyonangwaa mtaani mwenzao kashatoboaa.

Ila ndo malayaa mbwaa, mxxxxiiiiiieeeew.
Ulidhani mbususu yako itamshtua 🤣🤣🤣 pole bibie mtapangwa kama ndizi kwenye kichane 😜😅
 
Bilioni 7 ni milioni 7000.....tuseme ni noti za elf 10 na kazifunga ktk bunda za milioni 10, Kwa hyo 7000 gawa kwa 10 ni sawa na bunda 700....duh...ni stoo yote imejaa noti
Mtu km huyu ana ulinzi wa kutisha na maana sana, hawezi kaa na pesa zote hizo, Lol
 
Back
Top Bottom