Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Then Raisi analilia kwamba tulipe Kodi, binafisi sitakaa nilipe kodi nitakwepa hadi mwisho wa hii Dunia
Utalipa indirect mkuu....labda usifanye matumizi ndani ya nchi.....
Muhimu Rais awatumbue na kuwafungulia kesi ya uhujumu uchumi hao mapanya
 
Ni Tanzania pekee huwa naona mwizi au kibaka ndio hutajwa Jina gazetini lakini mbadhirifu wa serikali Jina linahifadhiwa Kwa uchunguzi zaidi wa polisi, halafu Rais anakwambia nina 4R's zangu ndo nasimamia still kwenye 4R's huna mkazo wowote Kwa walio chini yako
 
Dawa ni ku riot tu hamna namna hawa jamaa wamezidi yani inafikia mahala wengine tunakua kama sio watumishi wa umma vijana wetu andamaneni mtuokoe na huu usenge hali ni mbaya mnooooo
Tukishapigwa virugu muanze kutucheka tena na manundu yetu..
 
Mtumish ana milik 7Bi cash sio aset tuki plus na assets zake atakuw na. Total ngap, hawa wanasiasa vvip watakuw na Tilion
My tz my country
 
Hii ni bajeti ya Tarura mkoa mzima ,kwa zile barabara za changarawe😡😡 huyu ndio mhujumu uchumi sasa, sio zile kesi nyingine zilikuwa za kukomoana kipindi kile🤣🤣 tungetegemea huyu awe kisutu au korti ya mafisadi.
Huyo hafanywi chochote
 
Ulidhani mbususu yako itamshtua 🤣🤣🤣 pole bibie mtapangwa kama ndizi kwenye kichane 😜😅
 
Bilioni 7 ni milioni 7000.....tuseme ni noti za elf 10 na kazifunga ktk bunda za milioni 10, Kwa hyo 7000 gawa kwa 10 ni sawa na bunda 700....duh...ni stoo yote imejaa noti
Mtu km huyu ana ulinzi wa kutisha na maana sana, hawezi kaa na pesa zote hizo, Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…