Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Ni upambavu wa hali ya Juu sana, Mimi ninaviji biashara zangu kama nne, sijawahi kulipa Kodi, siwezi kuwalipia kodi watu wahuni. Hii Nchi ya Ajabu sana.
Maza anasema tulipe kodi huku mshahara wake haukatwi kodi si ujinga huo, piga pesa mkuu ukipata chance we iba sifia mama anaupiga mwingi maisha yaende kasi
 
Ali
Pole sana kwa kupitiwa na kutupwa kama mpira wa kiume.
 
🙄
 
Hivi hao wafanyakazi wa tra ni wote wanapesa mbon kuna jamaa yangu namjua hana cha maan au mfagiaji yule!
Sio wote,wapo baadhi ambao wamesimama kwenye uadilifu.

Mdogo wangu wa mwisho ni binti ambaye amepata kazi TRA mwaka 2021,lakini yupo kawaida sana.
 
Sio wote,wapo baadhi ambao wamesimama kwenye uadilifu.

Mdogo wangu wa mwisho ni binti ambaye amepata kazi TRA mwaka 2021,lakini yupo kawaida sana.
Unachoelezea ni sahihi kabisa inategemea sehemu mtu anakopangwa au connection. Wanaofanya department customs ( forodha) ndio usiseme huko. Nenda Tunduma [emoji1787][emoji23] customs officers wanahamishwa Sana huko hawafikishi miaka miwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…