Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

TRA kuna maajabu sana yaani vijana wa 2000 wamemaliza vyuo sababu ni wachaga wamepata kazi TRA wana ukwasi na magorofa ya hatari.

Yupo.kijana mmoja mtoto wa Shao( maarufu kama mtoto wa mama teddy) pale mbezibeach rainbow kamaliza ifm miaka ya 2018. Nilimkuta kwa mkuu wa wilaya anafuatilia kibali cha kumiliki bastola kisa yupoTRA ana pesa nyingi eti atakabwa.

Yupo mwingine Ngajiro alikiwa longroom lakini walimfukuza kwa ufisadi. Kuna akina kimaro na wale wa airport Tra wana ukwasi wa hatari.

Sijui takukuru wamelala wapi. Na ile Fass sijui ya TRA law enforcement department inafanya kazi gani.
Hao wanakula hadi na Wakuu wa nchi, ndio maana unaona hakuna wanacho fanywa, kwa TAKUKURU ile ndio imejaa wahuni tupu.
 
Nashangaa takukuru wanafanya nini? Raisi awakumbushe majukumu yao akikaa kimya inaleta ukakasi ukiangalia wanavyokomaa na walipa kodi wadogo na kuua mitaji yao huku wao wakilijimbikizia mali inaleta hasira
TAKUKURU imejaaa wahuni ile, yaani wale mpaka uwaambie sasa kamata huyu, ogopa taasisi unaongozwa na askari Police
 
Mambo mengine ni kujitafutia laana tu. Unapoiba Bilioni saba unakaa nazo kwako sijui unanunua Vogue(Gari ambayo kwa wastani wa mishahara yetu itachukua miezi 300 kununua)

Sijui ujenge majumba ya kifahari wakati kuna masikini ambao biashara zao zinanyanyaswa ni kujitafutia laana tu. Unakuta gari mpya SUV ya maana namba EH Series imepiga mzinga na kuondoka na roho za watu kumbe ni malaana yenyewe haya.
 
1. "Samaki anazaliwa na kukulia majini, lakini mpishi humuosha kwa maji kabla hajampika kwa maji"
2. "inashangaza kusikia anayefanya kazi ya kutengeneza hela kiwandani; naye yu alipwa hela"
3. "amavyi aja kuyandi"
4. "dunia ni uwanja mpana, wa kupata yupo na wa kukosa yupo ili gurudumu la maisha lisonge-uwepo wa - na + ndio uhai wenyewe"
5. "hakuna tajiri bila kibarua na kinyume chake"
 
Gazeti la Raia mwema leo, linaeelezea utajiri wa kutisha wa mabosi wa TRA, hawa ndio wale hutuma vijana wao waje kiusumbua mtaani na kodi za sh 100,000 wakati kuna watu wanakweoa kodi za trilion za pesa kwa makubaliano.
View attachment 3038176

Hawa ndio wale tunaambiwa tutunze amani ili waibe na kula kwa amani, yaani ukisikia tenzi za amani yetu sababu ni hizo hapo.

Raisi anasisitiza tulipe Kodi, Mwigulu anasisitiza tulipe kodi, Ila shida inakuja kwenye matumizi ya hizo kodi tunazo komaliwa tulipe na tunaambiwa kulipa kodi ni uzalendo. Na hawa watu ni kama Raisi anawaogopa sana.

Ndio maana nashangaa sana wanao jitolea mara kujenga Zahani mara shule, kwa sababu base ya kujitolea haiwezi kuwa habari kama hizi za fedha kupigwa na wengine mnambiwa wajitolee kujenga shule au Barabara au changishaneni.

Jiulize watuhumiwa wa report ya CAG wanafanywaga nini? hawakuna wanacho fanywa na sio hivyo tu bali pia husamehewa.

Hawa huwezi sikia Wakina Malaka, na kampuki yake wanawazungumzia, huwezi wakuta waimba pambio humu wanazungumzia mambo kama haya. Wao wako busy na Mbowe na Lisu.

Kule Kilimanjari kuna raia wanachangishana kulima Barabara, vipi wanapo sikia habari kama hizi?
Hili ni baya sana
 
Gazeti la Raia mwema leo, Julai 10, 2024, linaeelezea utajiri wa kutisha wa mabosi wa TRA, hawa ndio wale hutuma vijana wao waje kiusumbua mtaani na kodi za Tsh. 100,000 wakati kuna watu wanakwepa kodi za trilion za pesa kwa makubaliano.

Hawa ndio wale tunaambiwa tutunze amani ili waibe na kula kwa amani, yaani ukisikia tenzi za amani yetu sababu ni hizo hapo.

Rais anasisitiza tulipe Kodi, Mwigulu anasisitiza tulipe kodi, Ila shida inakuja kwenye matumizi ya hizo kodi tunazo komaliwa tulipe na tunaambiwa kulipa kodi ni uzalendo. Na hawa watu ni kama Raisi anawaogopa sana.

Ndio maana nashangaa sana wanao jitolea mara kujenga Zahani mara shule, kwa sababu base ya kujitolea haiwezi kuwa habari kama hizi za fedha kupigwa na wengine mnambiwa wajitolee kujenga shule au Barabara au changishaneni.

Jiulize watuhumiwa wa report ya CAG wanafanywaga nini? hawakuna wanacho fanywa na sio hivyo tu bali pia husamehewa.

Hawa huwezi sikia Wakina Makala, na kampuki yake wanawazungumzia, huwezi wakuta waimba pambio humu wanazungumzia mambo kama haya. Wao wako busy na Mbowe na Lissu.

Kule Kilimanjaro kuna raia wanachangishana kulima barabara, vipi wanapo sikia habari kama hizi?
Ukifanya kazi hekaluni, unakula hekaluni
 
Aisee nimesoma nkahisi kupofuka macho dah
 
Oyaaa niko serious sipendi upuzi. Acha porojo za kindezi jamvin nakuamuru mara moja lipa kodi. Na nitakufuatilia kwa karibu sana ole wako ukwepe kulipa kodi mimi na wewe.

AMRI!

Sauh'waah?

RWANDA UNANYONGWA AMAMMAISHA NA KESI HAIFIKI WIKI 2

SISI TUNALEANANNANKUBADILISHANA POSN NJOO HUKU WE NENDA KULE

SWABBAANAH WATAALAA
Kwenye kudili na Rushwa Kagame yuko vizuri sana pamoja na Mapungufu yake maengine ila kwenye kudili na Rushwa yuko vyema sana.
 
Back
Top Bottom