BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
- Thread starter
-
- #21
Hao wanakula hadi na Wakuu wa nchi, ndio maana unaona hakuna wanacho fanywa, kwa TAKUKURU ile ndio imejaa wahuni tupu.TRA kuna maajabu sana yaani vijana wa 2000 wamemaliza vyuo sababu ni wachaga wamepata kazi TRA wana ukwasi na magorofa ya hatari.
Yupo.kijana mmoja mtoto wa Shao( maarufu kama mtoto wa mama teddy) pale mbezibeach rainbow kamaliza ifm miaka ya 2018. Nilimkuta kwa mkuu wa wilaya anafuatilia kibali cha kumiliki bastola kisa yupoTRA ana pesa nyingi eti atakabwa.
Yupo mwingine Ngajiro alikiwa longroom lakini walimfukuza kwa ufisadi. Kuna akina kimaro na wale wa airport Tra wana ukwasi wa hatari.
Sijui takukuru wamelala wapi. Na ile Fass sijui ya TRA law enforcement department inafanya kazi gani.
Oyaaa niko serious sipendi upuzi. Acha porojo za kindezi jamvin nakuamuru mara moja lipa kodi. Na nitakufuatilia kwa karibu sana ole wako ukwepe kulipa kodi mimi na wewe.Utakuta wazazi wako kule kijijini wanachangishwa daily michango ya kijenga zahanati, Endelea na ufala
TAKUKURU imejaaa wahuni ile, yaani wale mpaka uwaambie sasa kamata huyu, ogopa taasisi unaongozwa na askari PoliceNashangaa takukuru wanafanya nini? Raisi awakumbushe majukumu yao akikaa kimya inaleta ukakasi ukiangalia wanavyokomaa na walipa kodi wadogo na kuua mitaji yao huku wao wakilijimbikizia mali inaleta hasira
Then Raisi analilia kwamba tulipe Kodi, binafisi sitakaa nilipe kodi nitakwepa hadi mwisho wa hii DuniaHii nchi inaliwa kila upande sasa hivi, hao TRA ni tawi tu linaloitafuna nchi yetu kwa sasa.
Hili ni baya sanaGazeti la Raia mwema leo, linaeelezea utajiri wa kutisha wa mabosi wa TRA, hawa ndio wale hutuma vijana wao waje kiusumbua mtaani na kodi za sh 100,000 wakati kuna watu wanakweoa kodi za trilion za pesa kwa makubaliano.
View attachment 3038176
Hawa ndio wale tunaambiwa tutunze amani ili waibe na kula kwa amani, yaani ukisikia tenzi za amani yetu sababu ni hizo hapo.
Raisi anasisitiza tulipe Kodi, Mwigulu anasisitiza tulipe kodi, Ila shida inakuja kwenye matumizi ya hizo kodi tunazo komaliwa tulipe na tunaambiwa kulipa kodi ni uzalendo. Na hawa watu ni kama Raisi anawaogopa sana.
Ndio maana nashangaa sana wanao jitolea mara kujenga Zahani mara shule, kwa sababu base ya kujitolea haiwezi kuwa habari kama hizi za fedha kupigwa na wengine mnambiwa wajitolee kujenga shule au Barabara au changishaneni.
Jiulize watuhumiwa wa report ya CAG wanafanywaga nini? hawakuna wanacho fanywa na sio hivyo tu bali pia husamehewa.
Hawa huwezi sikia Wakina Malaka, na kampuki yake wanawazungumzia, huwezi wakuta waimba pambio humu wanazungumzia mambo kama haya. Wao wako busy na Mbowe na Lisu.
Kule Kilimanjari kuna raia wanachangishana kulima Barabara, vipi wanapo sikia habari kama hizi?
Ukifanya kazi hekaluni, unakula hekaluni
Gazeti la Raia mwema leo, Julai 10, 2024, linaeelezea utajiri wa kutisha wa mabosi wa TRA, hawa ndio wale hutuma vijana wao waje kiusumbua mtaani na kodi za Tsh. 100,000 wakati kuna watu wanakwepa kodi za trilion za pesa kwa makubaliano.
Hawa ndio wale tunaambiwa tutunze amani ili waibe na kula kwa amani, yaani ukisikia tenzi za amani yetu sababu ni hizo hapo.
Rais anasisitiza tulipe Kodi, Mwigulu anasisitiza tulipe kodi, Ila shida inakuja kwenye matumizi ya hizo kodi tunazo komaliwa tulipe na tunaambiwa kulipa kodi ni uzalendo. Na hawa watu ni kama Raisi anawaogopa sana.
Ndio maana nashangaa sana wanao jitolea mara kujenga Zahani mara shule, kwa sababu base ya kujitolea haiwezi kuwa habari kama hizi za fedha kupigwa na wengine mnambiwa wajitolee kujenga shule au Barabara au changishaneni.
Jiulize watuhumiwa wa report ya CAG wanafanywaga nini? hawakuna wanacho fanywa na sio hivyo tu bali pia husamehewa.
Hawa huwezi sikia Wakina Makala, na kampuki yake wanawazungumzia, huwezi wakuta waimba pambio humu wanazungumzia mambo kama haya. Wao wako busy na Mbowe na Lissu.
Kule Kilimanjaro kuna raia wanachangishana kulima barabara, vipi wanapo sikia habari kama hizi?
Aisee nimesoma nkahisi kupofuka macho dah

Labda usinunue bidhaa yoyote Tanzania!Hizo kodi watalipa wao huyo rais na waziri wake mimi huko nilishatokaga.
Nitakwepa kodi kwa mbinu yoyote siwezi lipa hela zangu huku hazijulikani zinaenda wapi.
Oyaaa niko serious sipendi upuzi. Acha porojo za kindezi jamvin nakuamuru mara moja lipa kodi. Na nitakufuatilia kwa karibu sana ole wako ukwepe kulipa kodi mimi na wewe.
AMRI!
Sauh'waah?
Kwenye kudili na Rushwa Kagame yuko vizuri sana pamoja na Mapungufu yake maengine ila kwenye kudili na Rushwa yuko vyema sana.RWANDA UNANYONGWA AMAMMAISHA NA KESI HAIFIKI WIKI 2
SISI TUNALEANANNANKUBADILISHANA POSN NJOO HUKU WE NENDA KULE
SWABBAANAH WATAALAA
Ndio maana yakeMlipe kodi ili waendelee kujikusanyia ukwasi