cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Watu wanakula maisha jamaniii, khaaahKwa pesa hizo akijipangia mshahara wa 10m kila mwezi itamchukua miaka 58 kuzimaliza, hata zikiwa mahali pasipo na riba yoyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanakula maisha jamaniii, khaaahKwa pesa hizo akijipangia mshahara wa 10m kila mwezi itamchukua miaka 58 kuzimaliza, hata zikiwa mahali pasipo na riba yoyote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kifupiii, sio type yangu yulee, yaan hanivutii na hanishawishiii.Ulidhani mbususu yako itamshtua [emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole bibie mtapangwa kama ndizi kwenye kichane [emoji12][emoji28]
Mbona umemsema kuwa ni malaya. Hiyo ni hulka ya mwanaume hamna jipya hapo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kifupiii, sio type yangu yulee, yaan hanivutii na hanishawishiii.
Kubwa zaidi cna hata mazoea nae.
Wewe zwazwa kweli kweliHuo ni uzushi, hakuna alokamatwa na kiasi hicho
🤣🤣🤣 Hajui kitu huyo!Wewe zwazwa kweli kweli
Chawa tu huyo boya🤣🤣🤣 Hajui kitu huyo!
Miaka 6 tu kiongozi mpunga unakuwa umeshakata piga hesabu vizuriKwa pesa hizo akijipangia mshahara wa 10m kila mwezi itamchukua miaka 58 kuzimaliza, hata zikiwa mahali pasipo na riba yoyote.
Aje kufanya nini?Hiyo naye alikuwa mwizi tu,Bahati yake kutangulia maana Gen Z wangepita naye.Bila jiwe kufufuka hatutoboi...
Ni 58 mkuu pigaMiaka 6 tu kiongozi mpunga unakuwa umeshakata piga hesabu vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachaa wee!! Nimesema Malaya si ndo mtaani inasikika hivyooo! Kazi kuwapanga wadada tyuuh.Mbona umemsema kuwa ni malaya. Hiyo ni hulka ya mwanaume hamna jipya hapo.
Wanaume ni wa wote hiyo ndo principle yetu hatuchagui hatubagui kipussy [emoji847][emoji847][emoji847]
Duh kweli nimekosea hesabu janga la taifaNi 58 mkuu piga
10 * 12 = 120 M per year
120 * 58 years = 7B
Vijana wapo busy na betting, mpira na mziki, wazee wapo busy na alkasusi badala ya kulinda raslimali za taifa, ukiwa na taifa la watu wajinga hivi bora uibe yaani mazingira yanashawishi kuibaNi bora? Kwahiyo hapo hiyo kauli yako ina msaada gani hata kama mfumo ni mbovu? Akili za wapi hızı mkuu mbona huwa nakuheshimu hapa jukwaani?
Ni bora hata ungetukana tujuwe umechukia au hata uongelee kuhusu solution.
Sasa hii kauli inanishangaza sana mkuu. Ina reflect hopelessness!
wananchi wapo wapo tu hawana akili acha watu waibeKifupi hii nchi ilipofikia Tunamsindikiza Chura Kiziwi na wafuasi wake kwenye utajiri
Mkuu maendeleo kwa nchi hii ni hisani ya watawala na siyo haki ya wananchi, usipoiba awamu hii huwezi kuiba tenaLet us change the cause and not encourage this.
Unaweza ukawa unafanya utani lakini kwa uelewa wa vijana wetu wa sasa, please dump it.