Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana, inapendeza... Wape miongozo...💯 ….baada ya kupiga game…tu naanza kuongea umbea sasa😁😁si kila muda mtu uko siriazi utafikiri unachomelea mageti 😎😎
Wape miongozo, watakushukuru... Utalipwa peponi...Watajisoti wenyewe🤣🤣
Hayo ndiyo maneno, toa miongozo kwa members, malip yawe hapa hapa...Sitaki kulipwa peponi 😁😁nataka lipwa hapa hapa😁
Watakulipa, kuna members wakarimu sana, kwao hasara roho, pesa makaratasi...Malipo kwanza
Fanya kweli uone...😁😁😁😁smart bhana
Wakiacha ukauzu, mambo fresh...Hakuna cha kufanya hapo waache wapambanae na ukauzu wao😁
Ni yule mlokole nini mkuu😉😉Kuna mmoja nilimfanya akawa mshikaji kichizi. Time ilivyoenda akawa haniheshimu, haeleweki wakati gani anajibu serious au jokes. Hajijui lakini nimempiga chini
Hapo sawa, ila nawe usiwaletee ukauzu kama unao huo ukauzu lakini...Fresh sana yani
Ili kufanikisha mambo mazuri, lazima uwe na uthubutu wa ku-cross hizo boundaries...Ukauzu wangu huonekana mtu akicross boundaries ila ni mwana sana🤸♀️