Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

Wacha nikose mengi tu kwakweli lakini marufuku kucross boundaries 😀
Kuna binadamu ni majasiri sana, marufuku zako ni kama vile unawaambia ongeza bidii, kufumba na kufumba upo kwenye kumi na nane zao...
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jaman…

Mpenzi wako akiwa mshkaji wako kuna uwezekano mkubwa sana wa kujuana zaidiakikudanganya/akichukia/akiwa na furaha sana/akiwa na huzuni/siku yake haijakuwa nzuri kabla hata ya kumuuliza…na mengineyo.

Mwite majina ya kishkaji,mwamba,mwana,na mengineyo lakini isiwe too much sasa na nyie loh😁😁..

Mara moja moja mwambie “mwamba leo tupige game jikoni wakati nakaanga vitunguu “utamu ukizidi mnajikuta vitunguu vimeungua au vimafuta vimewarukia kidogo😆😆mnaungua,au mwambie babe twende tukapige game mpakani mwa Ukraine na Russia pembezoni mwa bomu la nyuklia.
Basi tu ilimradi usumbufu Woi😁😁
Chezeni karata,fanyeni evening walk pamoja,tubuaneni kidogo lakini hakikisha jua halijazama kisirani kimeisha😆😆

Haya msichukulie maisha siriazi sasa na nyie😁
Kuna kuwaga na maisha halafu na muda wa mapenzi💞.nafikiri Niko kwenye mapenzi wakati huu sitaki kugombezwa😁😁🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️



View: https://youtu.be/XhVwmbdIDhg?si=25XiVyiSLFMYZs98

Hii nimeipenda embu nimtag babe kitunguu 😹😹
 
Ngoja uone...
IMG_3087.jpeg
 
Mimi sijatega chochote...

Ila naweza kutegemea chochote...

Umetokea kwenye thread...
😳😳😳😳😳😳
Haya mambo yasijeyakawa mengine tena.
Let’s close this.

🥂🥂🥂
🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Back
Top Bottom