Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž

Kuna mmoja nilimfanya akawa mshikaji kichizi. Time ilivyoenda akawa haniheshimu, haeleweki wakati gani anajibu serious au jokes. Hajijui lakini nimempiga chini kimya kimya
 
Kuna mmoja nilimfanya akawa mshikaji kichizi. Time ilivyoenda akawa haniheshimu, haeleweki wakati gani anajibu serious au jokes. Hajijui lakini nimempiga chini
Ni yule mlokole nini mkuu๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰

Sijui uliuwekaje huo ushkaji lakini mpenzi wako akiwa mshkaji wako inakuwa mzuka sana ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
 
Ukauzu wangu huonekana mtu akicross boundaries ila ni mwana sana๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ
Ili kufanikisha mambo mazuri, lazima uwe na uthubutu wa ku-cross hizo boundaries...

Unapoleta ukauzu, unakosa mengi...
 
Ili kufanikisha mambo mazuri, lazima uwe na uthubutu wa ku-cross hizo boundaries...

Unapoleta ukauzu, unakosa mengi...
Wacha nikose mengi tu kwakweli lakini marufuku kucross boundaries ๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ