Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jamanβ¦
Mpenzi wako akiwa mshkaji wako kuna uwezekano mkubwa sana wa kujuana zaidiakikudanganya/akichukia/akiwa na furaha sana/akiwa na huzuni/siku yake haijakuwa nzuri kabla hata ya kumuulizaβ¦na mengineyo.
Mwite majina ya kishkaji,mwamba,mwana,na mengineyo lakini isiwe too much sasa na nyie lohππ..
Mara moja moja mwambie βmwamba leo tupige game jikoni wakati nakaanga vitunguu βutamu ukizidi mnajikuta vitunguu vimeungua au vimafuta vimewarukia kidogoππmnaungua,au mwambie babe twende tukapige game mpakani mwa Ukraine na Russia pembezoni mwa bomu la nyuklia.
Basi tu ilimradi usumbufu Woiππ
Chezeni karata,fanyeni evening walk pamoja,tubuaneni kidogo lakini hakikisha jua halijazama kisirani kimeishaππ
Haya msichukulie maisha siriazi sasa na nyieπ
Kuna kuwaga na maisha halafu na muda wa mapenziπ.nafikiri Niko kwenye mapenzi wakati huu sitaki kugombezwaπππ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ
View: https://youtu.be/XhVwmbdIDhg?si=25XiVyiSLFMYZs98