Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wakoπŸ’žπŸ’ž

Lakini dada mimi nikikaa mshikaji u tell I’m not romantique.

Baba Mwampoo is a man and half.. tumpe tu maua 🌺🌺

Najua anajua uliamka saa 8 ukala tikiti.. we dada ni mwamba geu
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Umenikumbusha rafikiyangu tulikata tikiti kubwa saa mbili usiku akaingia nalo chumbani nimeamka anatoa vyombo kamaliza na lililobaki alikuja kubeba na kamaliza loteπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜…πŸ˜…
Hizi vitu zinafanya nammiss mno Baba Mwamposa wangu, that guy ni mshikaji ile kinoma, ananiitaga 'mwamba wangu' sababu naweza kula tikiti lote mwenyewe..!!
Sio Maua, nakupa mti wakoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚.
πŸ‘‰Yaani Ume nitisha Hadi Mimi mpenda misosi
Cc Depal πŸ˜‚πŸ˜†, ona wenzio Wana penda kula- we ume kalia story za monky de Luffy πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sio Maua, nakupa mti wakoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚.
πŸ‘‰Yaani Ume nitisha Hadi Mimi mpenda misosi
Cc Depal πŸ˜‚πŸ˜†, ona wenzio Wana penda kula- we ume kalia story za monky de Luffy πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimecheka sana, thank you IB..!
Depal hawezi maliza hata kipande kimoja cha eet-sum-more..!!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Umenikumbusha rafikiyangu tulikata tikiti kubwa saa mbili usiku akaingia nalo chumbani nimeamka anatoa vyombo kamaliza na lililobaki alikuja kubeba na kamaliza loteπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Alikuwa hajala ama lilimzidia utamu?
Maana tikitiki kama ulikula ukashiba huwezi kula jingi sbb linajaza tumbo na ile mimaji yake.
 
Alikuwa hajala ama lilimzidia utamu?
Maana tikitiki kama ulikula ukashiba huwezi kula jingi sbb linajaza tumbo na ile mimaji yake.
Cha ajabu alikula ndo akala nusu nafikir usiku alimka Tena πŸ˜€ na mm nilijua njaa lakin imejirudia zaiid ya maramoja Yani Wana maua Yao πŸ˜€
 
Alikuwa hajala ama lilimzidia utamu?
Maana tikitiki kama ulikula ukashiba huwezi kula jingi sbb linajaza tumbo na ile mimaji yake.
Sikumoja alikuwa mgonjwa akaja kulala chumbani kwangu niwe namuangalia nakuta mgonjwa anatoka nauliza vipi unajisikia vibaya kumbe kaenda kukata tikiti kakaa zake kala kapanda kitandani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚akasema siku nikiumwa nikashindwa Kula tikiti mjue naelekea kufa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Copy kabisa na rafikiyangu mwanzoni nilikuwa namshangaa kula matikiti kiasi kileπŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila honestly me nasemea yale ya 1K na 2K, siyo yale makubwa kama nyumba..!!
Kabla sijalala nala nusu, kisha naweza amka zangu katikati ya usiku nikamalizia kipande changu fresh..!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Me nakaa na kisu ndiyo raha, sasa kuna Mama Kija yeye alikuwa anakula na kijiko, unakuta tikiti limechimbwa kama shimo..!!
 
kristoooo
Ninunulie uone venye namaliza box ndani ya dk 5 🀣🀣
Usifananishe Eet sum more na tikititi eti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
box at once humalizi yale maziwa yake huwa yanakifu haraka mno bhaana..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…