Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
๐๐๐Umenikumbusha rafikiyangu tulikata tikiti kubwa saa mbili usiku akaingia nalo chumbani nimeamka anatoa vyombo kamaliza na lililobaki alikuja kubeba na kamaliza lote๐๐๐Lakini dada mimi nikikaa mshikaji u tell Iโm not romantique.
Baba Mwampoo is a man and half.. tumpe tu maua ๐บ๐บ
Najua anajua uliamka saa 8 ukala tikiti.. we dada ni mwamba geu