Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jaman…

Mpenzi wako akiwa mshkaji wako kuna uwezekano mkubwa sana wa kujuana zaidiakikudanganya/akichukia/akiwa na furaha sana/akiwa na huzuni/siku yake haijakuwa nzuri kabla hata ya kumuuliza…na mengineyo.

Mwite majina ya kishkaji,mwamba,mwana,na mengineyo lakini isiwe too much sasa na nyie loh😁😁..

Mara moja moja mwambie “mwamba leo tupige game jikoni wakati nakaanga vitunguu “utamu ukizidi mnajikuta vitunguu vimeungua au vimafuta vimewarukia kidogo😆😆mnaungua,au mwambie babe twende tukapige game mpakani mwa Ukraine na Russia pembezoni mwa bomu la nyuklia.
Basi tu ilimradi usumbufu Woi😁😁
Chezeni karata,fanyeni evening walk pamoja,tubuaneni kidogo lakini hakikisha jua halijazama kisirani kimeisha😆😆

Haya msichukulie maisha siriazi sasa na nyie😁
Kuna kuwaga na maisha halafu na muda wa mapenzi💞.nafikiri Niko kwenye mapenzi wakati huu sitaki kugombezwa😁😁🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️



View: https://youtu.be/XhVwmbdIDhg?si=25XiVyiSLFMYZs98

Hapo mpakani mwa Ukrain na Russia hapana aisee
Ila asante kwa ujumbe Chakorii
 
Back
Top Bottom