Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

Sisi tuliosomaga Uchambuzi wa Fasihi Kidato cha Tatu tunachambua dhima ya Mtoa mada ni kusema kuwa Kitanda sio sehemu pekee ya kupeana Utamu.

Mnaweza kupeana Utamu hata mkiwa Jikoni, eneo la Wazi.

Nakumbuka miaka ile ya Ujana ilikuwa tunaweza kushambulia kutokea Bafuni, Sebuleni, Kwenye Gari, ama Shambani.

Kweli Vijana mna faidi 🤗
Ahahahahaaaa…

You nailed it👌👌
 
Mjukuu wako amefulia sna babu
Pole sana, ila hamna muda mrefu mtakaa sawa.

Maana niliona kuna mpango fulani unaendelea kule kwenu, mambo yasipoingiliana mtajazwa mihela hadi mshindwe wenyewe
 
Back
Top Bottom