Mfikishieni Salamu Samia ya kwamba Maneno huumba Kilio Cha watanzania hakitaenda bure

Mfikishieni Salamu Samia ya kwamba Maneno huumba Kilio Cha watanzania hakitaenda bure

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
Tunasema 'Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu" hata kiswahili chetu kinasema "Wengi wape". Hatakiwi kabisa na yeyote huyu.mama.

Sasa huyu naona anajidai kuziba masikio anavunja katiba ya nchi na Chama kwa maslahi binafsi. Anatumia.pesa na hila kupoka madaraka ambayo hayawezi.

Hivi vilio na manung'uniko kila upande wa Tanzania havitapita bure watu wengi wakimlilia Mungu wao jua kabiaa kuna jambo laja ni suala la mda tu Karma is real maana amekosa hekima dunia itamfunza..

Huhitaji tume ya professors kujua ya kwamba mother hatakiwi hata na kuku . Sisi tunaendlee kuomba atupishe nchi ipone.
 
Alafu mleta MADA ni MWANAUME !?

Omba mawasiliano yake umchane makavu.
 
Back
Top Bottom