mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
VIjana wengi wamekua na tamaa ya kutajirika haraka na kujikuta wanaingia kwenye Ponzi Scheme na kupoteza pesa za Ada na za Matumizi wanazolipiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu na wazazi wao pia.
Hivi karibuni pameibuka Ponzi Scheme inayoitwa MFTE ambayo inajinasibu kuendesha biashara ya Forex Trading.
Mwanzoni ilikua inaitwa HTfox na sasa inaitwa MTFE unaweza tizama link ya maelezo zaidi hapa
Fraud company HTfox which is now known as MTFE | Consumer Complaints Court
Niliwahi kuandika hapa kuhusu QNET lakini watanzania sisi sijui nani anatuloga.
Haya endeleeni kuwekeza tunawangoja mje hapa mkilia