chapati mbili na chai
Member
- Jun 1, 2026
- 99
- 189
Naishi kwenye Chumba Kimoja mjini naombeni msaada mfugo Gani nifuge hapa ndani na nipate hela
Fuga majiniNaishi kwenye Chumba Kimoja mjini naombeni msaada mfugo Gani nifuge hapa ndani na nipate hela
Fuga majini sheikh, hautojutaNaishi kwenye Chumba Kimoja mjini naombeni msaada mfugo Gani nifuge hapa ndani na nipate hela
Naomba namba ya saplaya mzuri wa majiniFuga majini sheikh, hautojuta
Wananunua Kwa kilo au au Kwa Virobakunguni uko nao tiar tafuta soko tu wachina wanakula hizo cruiser mkonge
Utafuta saa ngapiNaishi kwenye Chumba Kimoja mjini naombeni msaada mfugo Gani nifuge hapa ndani na nipate hela
Nakubaliana na wewe kabisa,sasa mtu kama huyu akipewa za uso atamlaumu nani?ERTUGRUL BEY vp khs h Mada, nayo inahitaji ushauri wa namna gn
Ndo ukikutana na comment za aisee, inasikitisha sana, kamsemee kwa babaake nk usishangaeNakubaliana na wewe kabisa,sasa mtu kama huyu akipewa za uso atamlaumu nani?
Mental illness is real.Naishi kwenye Chumba Kimoja mjini naombeni msaada mfugo Gani nifuge hapa ndani na nipate hela
Tafuta mwanamkeNaishi kwenye Chumba Kimoja mjini naombeni msaada mfugo Gani nifuge hapa ndani na nipate hela
Kwa Sasa Sina kazi mkuu naomba kaziUtafuta saa ngapi
Na kazi za watu utafanya saa ngap