Mfugo gani naweza kufuga chumbani ninapolala na bado nikapata kipato?

Mfugo gani naweza kufuga chumbani ninapolala na bado nikapata kipato?

Ni wazo zuri kufuga wanyama ndani unapolala kwa sababu mifugo itakuwa salama zaidi na chumba kuwa na matumizi ya ziada.

But vipengele vya kuzingatia.
Umepanga au huko ni kwenu?
Unapokea wageni na marafiki?
Kusudi la kufuga nini? Pesa? MaPambo?
 
Back
Top Bottom