Kha! Mbona wewe mwenyewe umo humo ndani tayari tena kwa kibali cha mwenye nyumba?Naishi kwenye Chumba Kimoja mjini naombeni msaada mfugo Gani nifuge hapa ndani na nipate hela
Afuge mende tu, soko zuri sana tena la kimataifa. Atapiga madolali balaakunguni uko nao tiar tafuta soko tu wachina wanakula hizo cruiser mkonge
Kama kwa ajili ya pesa basi chaguo zuri ni. KUKU. Fanya design ya Banda liwe good.Kusudi la kufuga ni pesa mkuu
Haupo!Naishi kwenye Chumba Kimoja mjini naombeni msaada mfugo Gani nifuge hapa ndani na nipate hela
tano moja wanalipia hamsini elfu ukiwa na tani 100 za kunguni unakunja 5m ya kibongoWananunua Kwa kilo au au Kwa Viroba
Nyuki,tegesha mzinga uangalie kwa nje,wachina wana dawa fulani unapulizia tu,nyuki dakika tu wanajazana,Naishi kwenye Chumba Kimoja mjini naombeni msaada mfugo Gani nifuge hapa ndani na nipate hela