Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hivi ukishaweka kuanzia sh 100,000 kinafuata nini..?Mkuu kwa UTT mifuko hii ntakushauri
Liquid fund
Bond fund
Mfano leo tuu Mfuko wa liquid vipande vimepanda sana thamani
Mkuu ukiweka hela automatic unakua umenunua vipande, kwahiyo itaanza kuongezeka kila siku,Mkuu, hivi ukishaweka kuanzia sh 100,000 kinafuata nini..?
Kwani nikiweka pesa zangu haziwezi kuzalisha adi ninunue na kuuza hizo sijui wanaita vipande..?
Sawa MkuuMkuu ukiweka hela automatic unakua umenunua vipande, kwahiyo itaanza kuongezeka kila siku,
kama lengo ni kukuzia Mtaji bond haimfai maana inatoa Gawio anatakiwa mfuko ambao hautoi gawio hapo ni liquid na umoja.. nsio zinafaa kukuzia. Faida inarudishwa kwenye mtaji directMkuu kwa UTT mifuko hii ntakushauri
Liquid fund
Bond fund
Mfano leo tuu Mfuko wa liquid vipande vimepanda sana thamani
Kwan mkuu mtu akiweka hela Bond fund akawa anapata gawio na hiyo hela haitoi, unataka kusema hela haitaongezeka?kama lengo ni kukuzia Mtaji bond haimfai maana inatoa Gawio anatakiwa mfuko ambao hautoi gawio hapo ni liquid na umoja.. nsio zinafaa kukuzia. Faida inarudishwa kwenye mtaji direct
Mtaji
Gawio la bond fund linatumwa bank sio kwamba wewe unaenda kutoa. UTT magawio ya kila mwez wanakutumia kwenye account yako maana yake kama unataka kukuza mtaji inatakiwa kila mwez ukipokea gawio ilirudishe kununulia vipandeKwan mkuu mtu akiweka hela Bond fund akawa anapata gawio na hiyo hela haitoi, unataka kusema hela haitaongezeka?
Kuna option ya kukuza mtaji mkuu..unaamua lile gawiwo la kila mwezi usiwe unawekewa kwenye account.kama lengo ni kukuzia Mtaji bond haimfai maana inatoa Gawio anatakiwa mfuko ambao hautoi gawio hapo ni liquid na umoja.. nsio zinafaa kukuzia. Faida inarudishwa kwenye mtaji direct
Mtaji
So kwa maana hiyo mtu akiweka 10M bond fund atapata gawio kila mwezi na hiyo 10m itakua static haitaongezeka kabisaGawio la bond fund li atumwa babk sio kwamba wewe u aenda kutoa UTT magawio ya kila mwez wanakutumia kwenye account yako maana yake kama unataka kukuza mtaji inatakiwa kila mwez ukipikea gawio ilirudishe kununulia vipande
Kitu ambacho utakuwa unapoteza vijishiling kadhaa
Kama hiyo option ipo ni jambo la busaraKuna option ya kukuza mtaji mkuu..unaamua lile gawiwo la kila mwezi usiwe unawekewa kwenye account.
Linaongezeka ila kwa % ndogo sio sawa na mifuko ambayo haitoa gawioSo kwa maana hiyo mtu akiweka 10M bond fund atapata gawio kila mwezi na hiyo 10m itakua static haitaongezeka kabisa
Asante sana kwa ufafanuzi nimejifunza kituLinaongezeka ila kwa % ndogo sio sawa na mifuko ambayo haitoa gawio
Mfano mathalani mfuko unakupa 12% kwa mwaka kitu ambacho mifuko
Yote ya UTT ndio average yake.. so kwa mfuko ambao hautoi gawio maana yake kila mwez kuna faida ya 1% ya mtaji wako inazalishwa. Ambayo inarudi kukuza mtaji. Kwa mfano wako wa 10m maana yake kila
Mwez utaona kuna almost laki na ushee hivi imeongezeka..
Huyu wa kupata gawio ataona pia kuna laki na ushee ila Mara baada ya kupokea gawio ataona ongezeko limeoingua limekuwa kama 10k hivi maana yake atakuwa kapokea 80 bank
So kwenye balance wa mfuko wa kutoa gawio anaweza akaona ana 10,020,000 na ambaye mfuko wake hauna gawio akaona kuwa ana 10,102,000
UTT kwa mifuko ya gawio wanakupa 0.8% hivi ya gawio then 0.2% hivi inarudi kwenye mtaji
NB: hizo % ni mifano inaweza kuwa zaid au pungufu
Mkuu mimi nataka niweke kama milioni 40 hivi kwa miezi mitatu, je itawezekana? Ni mfuko upi mzuri?Linaongezeka ila kwa % ndogo sio sawa na mifuko ambayo haitoa gawio
Mfano mathalani mfuko unakupa 12% kwa mwaka kitu ambacho mifuko
Yote ya UTT ndio average yake.. so kwa mfuko ambao hautoi gawio maana yake kila mwez kuna faida ya 1% ya mtaji wako inazalishwa. Ambayo inarudi kukuza mtaji. Kwa mfano wako wa 10m maana yake kila
Mwez utaona kuna almost laki na ushee hivi imeongezeka..
Huyu wa kupata gawio ataona pia kuna laki na ushee ila Mara baada ya kupokea gawio ataona ongezeko limeoingua limekuwa kama 10k hivi maana yake atakuwa kapokea 80 bank
So kwenye balance wa mfuko wa kutoa gawio anaweza akaona ana 10,020,000 na ambaye mfuko wake hauna gawio akaona kuwa ana 10,102,000
UTT kwa mifuko ya gawio wanakupa 0.8% hivi ya gawio then 0.2% hivi inarudi kwenye mtaji
NB: hizo % ni mifano inaweza kuwa zaid au pungufu
Unataka kupata gawio au unataka kukuza mtaji tu,Mkuu mimi nataka niweke kama milioni 40 hivi kwa miezi mitatu, je itawezekana? Ni mfuko upi mzuri?