Mfuko upi wa UTT AMIS ni bora kukuzia mtaji wakuu?

Fredwash Naomba utupe elimu kidogo ni kwa namna gani mtu ambaye anaweka fedha zake UTT akihitaji kupata mkopo ni kwa namna gani UTT inasimama kama dhamana na kingine ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo ili UTT iweze kusimama kama dhamana ya huo mkopo?
Naomba ufafanuzi kwenye hili
 
Kaka kwenye hili niwe mkweli sijawah chukulia mkopo kwa dhaman za UTT ila najua unaweza chukulia mkopo na dhamana ikawa vipande vyako vya UTT, ila utaratibu ni kuwa kuna utambulisho au certificate UTT watakupa kuthibitisha kuwa kweli wewe ni mwanachama hai na unavipande vyenye thamani ya kiasi kadhaa. Then utaenda na hizo documents zako kwenye bank yako husika na kutoka hapo basi itategemea na na hiyo bank na aina ya mkopo na masharti yake

Kikubwa ni kuwa hautaruhusiwa kuuza vipande vyako kwa kipindi chote cha mkopo kama utafanikiwa kupata mkopo kwa kutumia vipande kama collateral,

So issue wala haiko UTT wao watatoa documents za kuthibitisha kuwa kweli wewe ni mwekezaji swala ni bank yako na taratibu zao na masharti ya mkopo husika. Na kama kuna additional documents watazihitaji kutoka UTT au kutoka kwako personal..

mikopo Ina masharti tofauti inawezekana bank ikahitaj kiapo chako (affidavit) kuwa unaipa Bank mamlaka ya ku claim Asset zako ( mfano uwekezaji wa UTT) kama utashindwa kurudishwa mkopo ndan ya mda flan.. au inawezekana kiapo hicho wakahitaji UTT ili ikitokea bank inaclaim usije ukawashtak hii itategemea bank wametoa miongozo ipi kwenda UTT

So it's not a straightforward argument.. ndio maana hata UTT kwenye hili wanamaelezo mafupi sababu Bank ndio mwanzilishi wa mchakato wa nini kinahitajika
Kwa ushauri pia naamini unaulizia swala la mikopo kwa maana unataka kutumia kwa kuwekeza kwenye biashara ila kama sio biashara sikushauri sababu bank zitakudai interest ya. Zaid 15% pengine hadi 22% kutegemea ba mkopo wakati returns ya UTT average ni 12% so utaona kuwa kama huo mkopo hauendi kuzalisha itabidi utafute pesa ya kuongezea
 
Nashukuru mkuu nimekuelewa vyema
 
Wakuu,,
JuzinNimefanikiwa kufungua account UTT (Liquid fund) nikeweka kianzio tayari.
Leo nimeingia kwenye account yangu nimekuota hivi..
# Kwahyo hii balance ninayoiona ni 100,029 hiyo 29 iliyoongezeka ni nini..?
# Hii 232 ninayoiona juu ni nini pia..

Kwa namna ilivyo hapa jukumublangu ni kufanya nini kwa Sasa..?
IMG_20241213_123855.jpg
 
Back
Top Bottom