Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wanakusanya tu? Huo mfuko unatakiwa kutatua majukumu ya kifamilia.
Kwani wamesema hawatatui?Sasa wanakusanya tu? Huo mfuko unatakiwa kutatua majukumu ya kifamilia.
Hongera kwaoumetazama hiyo video ?. huo mfuko unatatua matatizo yao na wanakopeshana. sio benk ya kutunza hela tu zimekaa
Familia zingine wana mifuko ya kupigana majungu tu na kukwamishana kimaendeleo, hongera kwaoumetazama hiyo video ?. huo mfuko unatatua matatizo yao na wanakopeshana. sio benk ya kutunza hela tu zimekaa
Kuna haja ya kuzaana sana!kwenye familia yetu hata tukichanga 10000 kwa mwezi,kutoboa hiyo mil 100 siyo leo aiseee.
Familia zetu hizi..
Mtu unachangia kila mwezi alafu kuna kundi linategea na huna cha kufanya na huo mchango ndio anaupigia hesabu kama vile alikuwa anachanga kila mara.
zaid ya hapoMapato: 100,000,000/=
Assume walianza kuchanga miaka 30 ilopita:
100,000,000 ÷ 30 years = 3,333,333/= annually.
Gawanya kwa miezi 12 tupate mapato kila mwezi:
3,333,333 ÷ 12 = 277,778/= monthly
Gawanya kwa mchango wa kila mtu tujue idadi ya wanandugu:
277,778 ÷ 5,000 = 55 people.
Conclusion:
Familia ina ndugu wapatao 55.
Further Assumption:
Idadi ya wanandugu ipo constant, hawafi. Akifa, basi mtoto wake wa kwanza anaendelea kuchangia.
Wanasaidisna kwenye matatizo au wanachanga tu?
Kwani wamesema hivyo?Sasa wanakusanya tu? Huo mfuko unatakiwa kutatua majukumu ya kifamilia.