Mfuko wa familia , wanaochanga 5000 kila mwezi, wafikisha mapato zaidi ya milioni 100. familia zingine zinapaswa kuiga njia hii

Mfuko wa familia , wanaochanga 5000 kila mwezi, wafikisha mapato zaidi ya milioni 100. familia zingine zinapaswa kuiga njia hii

Mapato: 100,000,000/=

Assume walianza kuchanga miaka 30 ilopita:
100,000,000 ÷ 30 years = 3,333,333/= annually.

Gawanya kwa miezi 12 tupate mapato kila mwezi:
3,333,333 ÷ 12 = 277,778/= monthly

Gawanya kwa mchango wa kila mtu tujue idadi ya wanandugu:
277,778 ÷ 5,000 = 55 people.

Conclusion:
Familia ina ndugu wapatao 55.

Further Assumption:
Idadi ya wanandugu ipo constant, hawafi. Akifa, basi mtoto wake wa kwanza anaendelea kuchangia.
Hapo umefanya kinyume nyume.

Sasa ki mbele mbele inakua hivi,
Wanafamilia 55 x TZS 5,000 each ni Kwa mwezi TZS 275,000/-

Ukifanya Kwa mwaka ni TZS 275,000 x 12
TZS 3,300,000/-

Kwa Miaka 30 ni TZS 99,000,000/-

Yaani miaka 30 yote mnachanga tu hakuna mradi wowote wa kuzizalisha unaofanyika.

Misiba yote hapo kati hela zimekaa tu.

Mtu anaweza kuchanga ni yule anaejitegemea tufanye kuanzia miaka 20. Sasa ana miaka 50 (babu) bado anachanga tu hajaanza kula matunda ya uchangaji wake.
 
Si umesikia wanasema huwa wanakopeshana na kuondokana na mikopo umiza! Huyo kijana wa miaka 50 amezuiliwa na nani kukopa?
 
Familia zetu wengine kurogana tu, watu tunalala usiku wao wanakuja kuharibu mipango ya uchumi.
 
Umoja unatokana na hizo familiar zipo vizuri ki uchumi..n.k
Umoja unatokana na bond ya upendo ndani ya familia, upendo unatokana na malezi. Kuna koo zimenyanyuana kiuchumi sana, hakuna wa hali ya chini tena na zilikua hoi kiuchumi.
 
Umoja unatokana na bond ya upendo ndani ya familia, upendo unatokana na malezi. Kuna koo zimenyanyuana kiuchumi sana, hakuna wa hali ya chini tena na zilikua hoi kiuchumi.
Ndo mpaka itokee sasa kwamba mpo vizuri ila niamini mimi kwamba umasikini ndo chanzo cha mipango yote kukwama.

Ukichunguza vizuri hao waliotengeneza kikundu almost 97.7 wote wanajiweza kiuchumi.
 
Ndo mpaka itokee sasa kwamba mpo vizuri ila niamini mimi kwamba umasikini ndo chanzo cha mipango yote kukwama.

Ukichunguza vizuri hao waliotengeneza kikundu almost 97.7 wote wanajiweza kiuchumi.
sikupingi ila kwa nnayoijua mimi ni mmoja alipambana alivyotoka kimaisha akawasapoti ndugu zake, chain ikawa kubwa ukisapotiwa unasapot mambo yakienda vizuri, kwa sasa wapo vizuri mno na wanazidi kutajirika mpaka vitukuu.
 
Sana ila koo zetu wengine ndio kwanza ndugu wanapambana usifanikiwe, uzidi kushuka na hali izidi kuwa mbaya yaani wakiona kila kukicha afadhali ya jana ndio raha yao.
Hahahaha,... sahihi kabisa ndugu wengine ni tatizo sana, na usipokuwa kuwa makini wanaangusha mbuyu dadek.
 
Mapato: 100,000,000/=

Assume walianza kuchanga miaka 30 ilopita:
100,000,000 ÷ 30 years = 3,333,333/= annually.

Gawanya kwa miezi 12 tupate mapato kila mwezi:
3,333,333 ÷ 12 = 277,778/= monthly

Gawanya kwa mchango wa kila mtu tujue idadi ya wanandugu:
277,778 ÷ 5,000 = 55 people.

Conclusion:
Familia ina ndugu wapatao 55.

Further Assumption:
Idadi ya wanandugu ipo constant, hawafi. Akifa, basi mtoto wake wa kwanza anaendelea kuchangia.
Tuje kwenye present value of money, kama walikuwa wanatoa tsh 5,000 monthly mwaka 1993 (30yrs ago) na sasa ivi, mwaka 2023 wanaendelea kutoa sh 5,000 basi ni waduanzi
 
Mapato: 100,000,000/=

Assume walianza kuchanga miaka 30 ilopita:
100,000,000 ÷ 30 years = 3,333,333/= annually.

Gawanya kwa miezi 12 tupate mapato kila mwezi:
3,333,333 ÷ 12 = 277,778/= monthly

Gawanya kwa mchango wa kila mtu tujue idadi ya wanandugu:
277,778 ÷ 5,000 = 55 people.

Conclusion:
Familia ina ndugu wapatao 55.

Further Assumption:
Idadi ya wanandugu ipo constant, hawafi. Akifa, basi mtoto wake wa kwanza anaendelea kuchangia.
miaka 30 iliyopita elfu 5000 ilikuwa ni mzigo mzito kwa mtu.

labda kama kuna nyumba,shamba au kiwanja cha ukoo kiliuzwa miaka ya karibuni,ili.kiwafae wote wakaafikiana pesa hiyo yote iwe kianzio cha mfuko.

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom