Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Hapo umefanya kinyume nyume.Mapato: 100,000,000/=
Assume walianza kuchanga miaka 30 ilopita:
100,000,000 ÷ 30 years = 3,333,333/= annually.
Gawanya kwa miezi 12 tupate mapato kila mwezi:
3,333,333 ÷ 12 = 277,778/= monthly
Gawanya kwa mchango wa kila mtu tujue idadi ya wanandugu:
277,778 ÷ 5,000 = 55 people.
Conclusion:
Familia ina ndugu wapatao 55.
Further Assumption:
Idadi ya wanandugu ipo constant, hawafi. Akifa, basi mtoto wake wa kwanza anaendelea kuchangia.
Sasa ki mbele mbele inakua hivi,
Wanafamilia 55 x TZS 5,000 each ni Kwa mwezi TZS 275,000/-
Ukifanya Kwa mwaka ni TZS 275,000 x 12
TZS 3,300,000/-
Kwa Miaka 30 ni TZS 99,000,000/-
Yaani miaka 30 yote mnachanga tu hakuna mradi wowote wa kuzizalisha unaofanyika.
Misiba yote hapo kati hela zimekaa tu.
Mtu anaweza kuchanga ni yule anaejitegemea tufanye kuanzia miaka 20. Sasa ana miaka 50 (babu) bado anachanga tu hajaanza kula matunda ya uchangaji wake.