Mfuko wa UMOJA FUND vipande vyake ndo vina thamani kubwa kuliko vipande vyovyote vile vya mfuko wa UTT

Mfuko wa UMOJA FUND vipande vyake ndo vina thamani kubwa kuliko vipande vyovyote vile vya mfuko wa UTT

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,095
Reaction score
3,649
Nilikua napitia thamn ya vipande tofauti

Leo 27.11.24
1️⃣Umoja fund-1076 🟥 1087 KUZ🟩
2️⃣Ukwasi/Liquid fund 427🟥 427🟥
3️⃣Jikimu 177🟥181🟩
4️⃣Bond 118🟥118🟩

Hii ina maana gani??
Je ni sahihi na ninavo tafsiri thamani?
 
Attachments

  • 1FB59CAB-A7E3-4456-9E62-54120AD97EC8.png
    1FB59CAB-A7E3-4456-9E62-54120AD97EC8.png
    189.7 KB · Views: 8
  • E9FA166B-6BB3-4E36-B217-89A6B3440167.png
    E9FA166B-6BB3-4E36-B217-89A6B3440167.png
    189.1 KB · Views: 7
  • 996BA54A-C2F0-4966-AF5C-854E45307406.png
    996BA54A-C2F0-4966-AF5C-854E45307406.png
    186 KB · Views: 7
  • D487C8E3-66DC-4D3C-8B97-D265726F309D.png
    D487C8E3-66DC-4D3C-8B97-D265726F309D.png
    187.3 KB · Views: 7
Endapo ni kijana na unajumudu jaribu wekeza miradi mingine ikikwama ndo ufanye hii ya less risk

Ikifanikiwa miradi yako tenga fungu kila mwezi weka kwenye less risk investment - Umoja Fund / Ukwasi/Jikimu
 
miradi mingine kama ipi
 
Back
Top Bottom