Mfumo mpya wa kutuma fedha kwa simu kuanza Julai

Mnawashwa nyiny kuna watu wanafanana majjna namba ni lazjma haikwepeki
 
Zote hizi sarakasi tu.

Ni lini B.O.T wataruhusu kupokea fedha kwa PAYPAL????
 
Hii ni rahisi kwani database za mitandao yote zitakua kwenye mfumo kwahiyo hakuna kuingiza namba wala kuchagua mtandao, unaweka jina lililosajiliwa la mhusika , mpunga unakwenda.
Mfano kwa mimi nina watu wengi nafanana nao majina iitakuaje sasa....! Au ndio kutumia majina manne yote..!

Vipi ukikosea herufi ya ina pia!
 
Nahisi hakuna jipya hapa, itakuwa ni mfumo wa benki kuu tu, utakaohusisha serikali moja kwa moja kufuatilia nyendo za wananchi kifedha. Lakini kama itakuwa inarahisisha au ni nafuu, labda kuwarahisishia wao kufuatilia watu.
 
Hata mm.sijaelewa!!
Huo.mfumo utapu nguza gharama za kutuma fedha hapo sijaelewa gharama zitapungua vipi maana hapo wamerahisisha tuu njia ya kutuma.
Naomba nikazie hapa na mimi mfumo lengo lake ni kupunguza gharama au inakuwaje kwa maana sioni utofauti kati ya jina na no embu wanaoelewa watuweke sawa
 
Hii ni rahisi kwani database za mitandao yote zitakua kwenye mfumo kwahiyo hakuna kuingiza namba wala kuchagua mtandao, unaweka jina lililosajiliwa la mhusika , mpunga unakwenda.
Majina yanafanana. Hii changamoto watatatuaje?
 
Hii ni rahisi kwani database za mitandao yote zitakua kwenye mfumo kwahiyo hakuna kuingiza namba wala kuchagua mtandao, unaweka jina lililosajiliwa la mhusika , mpunga unakwenda.
Majina yanafanana. Hii changamoto watatatuaje
Tigo app na voda appbzinafanya kazi kwa mtindo tofauti na maelezo yako?
😀
 
Tutakuwa Amna mtu wa kati hapo si unajua ukikatwa pesa yeyete ile kuna watu kama watatu wanagawana hiyo hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…