Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama silijui jina lake? Kumbuka Majina ulio seve namba za watu ni tofauti na jina aliosajiliaHii ni rahisi kwani database za mitandao yote zitakua kwenye mfumo kwahiyo hakuna kuingiza namba wala kuchagua mtandao, unaweka jina lililosajiliwa la mhusika , mpunga unakwenda.
Tuma mitandao mingine nadhani kuna hizo optionalWhat if.. nina namba zake mbili na zote kasajili kwa jina moja... Na mlengwa anataka nimtumie kwa Vodacom... Nami nina namba zake za Vodacom na Halotel..??
Kwa hiyo huo mfumo unaogopa Corona?"ulipangwa kuanza Juni, mwaka jana lakini kutokana na maambukizi ya virusi vya corona ulihifadhiwa kwanza" Mwisho wa kunukuu.
Nitaka kuelewa zaidi, unatuma pesa kwa kutumia jina la mtu, sawa na hivi sasa tunatuma kwa kutumia namba ya mtu huku jina likija mwishoni sawa.
Sasa basi nini kitakuwa cha ziada kwenye kutuma kama mnavyosema 'utatakiwa kuwa na jina tu'?
Issue ni kuwa sasa hata pesa unayotuma kupitia tigo au vodacom bank nayo itapata chochote kutoka kwako, yaani umeikimbia bank halafu mbele unakuta bank inakusubiri, nalaabuk!!Hii ni rahisi kwani database za mitandao yote zitakua kwenye mfumo kwahiyo hakuna kuingiza namba wala kuchagua mtandao, unaweka jina lililosajiliwa la mhusika , mpunga unakwenda.
Na sisi tunao save majina ya watu kivyovyote itakuaje? Mfano James Waitara nika save "Jay wee"Hii itapunguza vipi gharama kivipi sijaelewa hapo
Ukituma mil 1 wanakufuata wanakuuliza ulizitoa wapi? Ulizilipia kodi?Dar es Salaam. Kuanzia Julai Watanzania wataweza kutuma fedha haraka kwa watu waliopo kwenye orodha zao za mawasiliano ya simu bila kutafuta namba za majina husika.
Hiyo itawezekana kwa sababu Benki Kuu ya Tanzania (BoT) itazindua mfumo wake wa Malipo ya Haraka (Tips).
Tips itahamasisha miunganisho ya huduma za fedha za kidigitali yakiwamo malipo kwa watoa huduma kwa gharama nafuu na zenye ulinzi.
Mfumo huo utafanya kazi kwa njia ambayo malipo yote ya kidigitali, yakiwamo ya miamala ya simu kama Airtel Money, Tigo Pesa, M-Pesa, HaloPesa, EzyPesa na T-Pesa, itakayounganishwa katika jukwaa moja.
Kwa hiyo, mtu anayetaka kutuma fedha atahitajika kuwa na jina la mtu anayetaka kutumiwa kabla ya kutuma.
Mfumo huo unaelezwa utarahisisha utumaji wa fedha na kupunguza gharama.
Awali, mfumo huo ulitarajiwa kuanza kufanya kazi Desemba mwaka jana, lakini Mkurugenzi mifumo ya malipo wa BoT, Bernard Dadi alisema waliamua kuuboresha kwa kuubadilisha na kuujenga upya.
“Mpango huo unatarajiwa kuwa tayari katika awamu ya kwanza Julai mwaka huu,” alisema Dadi.
Awamu hiyo itahusu biashara ya mtu kwa mtu.
Dadi alisema baada ya awamu hiyo ya kwanza, kutakuwa na awamu ya pili, ya tatu na mwisho awamu ya nne itakayohusisha ulipaji wa kodi na malipo ya jumla na mengineyo yatakayojitokeza katika masoko.
Pia, alisema, utekelezaji wake pia ulipangwa kuanza Juni, mwaka jana lakini kutokana na maambukizi ya virusi vya corona ulihifadhiwa kwanza.
BoT iliisitisha timu liyokuwa ikitekeleza mradi huo kutokana na maambukizi ya corona na kuanzisha timu nyingine.
Hata hivyo, baada ya kuundwa kwa timu nyingine mfumo huo haukuweza kuzinduliwa kwa muda uliotarajiwa yaani Juni na ulisogezwa hadi mwisho wa mwaka jana.
Maandalizi ya matumizi ya mfumo huo ambayo yatafanyakazi kupitia kadi za malipo, benki za simu, uchumi wa kidijitali na benki za intaneti, yalianza kufanyika tangu Juni 2018. Na matumizi hayo yalipangwa kufanyika kwa bidhaa za fedha na kwa watoa huduma.
Matumizi ya mfumo huo yanalenga kupunguza matumizi ya fedha tasilimu katika malipo na katika uchumi.
CHANZO: Mwananchi
Cha tofauti ni kuwa sasa kila senti utakayotuma italazimika kupita kwenye macho ya serikali, ionjwe kidogo, mtoa huduma wa mtandao wako naye amege yake, TRA nao wabandue Vat yao hapo, ikibaki utapewa!!!!!Kwa hayo maelezo uliyotoa sijaona kitu cha tofauti sana ambacho huo mfumo unao,
Ndilo lengo kuu!Naona nimekuwa mgumu kuelewa, najiuliza
1.Utapunguza vipi gharama?? Au mitandao ya simu itashinikizwa kupunguza makato?
2. Kwa sisi wenye namba nyingi, kutakuwa na options za kuchagua mtandao? Kama kutakuwa na options sijaona urahisi wowote..
Mwisho naona tutaanza kufatiliwa transactions zetu sasa....kwa wale tunaofanya malipo na kuuza kwa njia ya simu...Tunaweza kuongezewa kodi wakiona transactions ni nyingi..
Yajayo yanafurahisha...Dar es Salaam. Kuanzia Julai Watanzania wataweza kutuma fedha haraka kwa watu waliopo kwenye orodha zao za mawasiliano ya simu bila kutafuta namba za majina husika.
Hiyo itawezekana kwa sababu Benki Kuu ya Tanzania (BoT) itazindua mfumo wake wa Malipo ya Haraka (Tips).
Tips itahamasisha miunganisho ya huduma za fedha za kidigitali yakiwamo malipo kwa watoa huduma kwa gharama nafuu na zenye ulinzi.
Mfumo huo utafanya kazi kwa njia ambayo malipo yote ya kidigitali, yakiwamo ya miamala ya simu kama Airtel Money, Tigo Pesa, M-Pesa, HaloPesa, EzyPesa na T-Pesa, itakayounganishwa katika jukwaa moja.
Kwa hiyo, mtu anayetaka kutuma fedha atahitajika kuwa na jina la mtu anayetaka kutumiwa kabla ya kutuma.
Mfumo huo unaelezwa utarahisisha utumaji wa fedha na kupunguza gharama.
Awali, mfumo huo ulitarajiwa kuanza kufanya kazi Desemba mwaka jana, lakini Mkurugenzi mifumo ya malipo wa BoT, Bernard Dadi alisema waliamua kuuboresha kwa kuubadilisha na kuujenga upya.
“Mpango huo unatarajiwa kuwa tayari katika awamu ya kwanza Julai mwaka huu,” alisema Dadi.
Awamu hiyo itahusu biashara ya mtu kwa mtu.
Dadi alisema baada ya awamu hiyo ya kwanza, kutakuwa na awamu ya pili, ya tatu na mwisho awamu ya nne itakayohusisha ulipaji wa kodi na malipo ya jumla na mengineyo yatakayojitokeza katika masoko.
Pia, alisema, utekelezaji wake pia ulipangwa kuanza Juni, mwaka jana lakini kutokana na maambukizi ya virusi vya corona ulihifadhiwa kwanza.
BoT iliisitisha timu liyokuwa ikitekeleza mradi huo kutokana na maambukizi ya corona na kuanzisha timu nyingine.
Hata hivyo, baada ya kuundwa kwa timu nyingine mfumo huo haukuweza kuzinduliwa kwa muda uliotarajiwa yaani Juni na ulisogezwa hadi mwisho wa mwaka jana.
Maandalizi ya matumizi ya mfumo huo ambayo yatafanyakazi kupitia kadi za malipo, benki za simu, uchumi wa kidijitali na benki za intaneti, yalianza kufanyika tangu Juni 2018. Na matumizi hayo yalipangwa kufanyika kwa bidhaa za fedha na kwa watoa huduma.
Matumizi ya mfumo huo yanalenga kupunguza matumizi ya fedha tasilimu katika malipo na katika uchumi.
CHANZO: Mwananchi
kwani mi programme ya serikali haijulikani basi! ukitataka kutuma pesa lita load hilo app mbaka ujute...hahahaDar es Salaam. Kuanzia Julai Watanzania wataweza kutuma fedha haraka kwa watu waliopo kwenye orodha zao za mawasiliano ya simu bila kutafuta namba za majina husika.
Hiyo itawezekana kwa sababu Benki Kuu ya Tanzania (BoT) itazindua mfumo wake wa Malipo ya Haraka (Tips).
Tips itahamasisha miunganisho ya huduma za fedha za kidigitali yakiwamo malipo kwa watoa huduma kwa gharama nafuu na zenye ulinzi.
Mfumo huo utafanya kazi kwa njia ambayo malipo yote ya kidigitali, yakiwamo ya miamala ya simu kama Airtel Money, Tigo Pesa, M-Pesa, HaloPesa, EzyPesa na T-Pesa, itakayounganishwa katika jukwaa moja.
Kwa hiyo, mtu anayetaka kutuma fedha atahitajika kuwa na jina la mtu anayetaka kutumiwa kabla ya kutuma.
Mfumo huo unaelezwa utarahisisha utumaji wa fedha na kupunguza gharama.
Awali, mfumo huo ulitarajiwa kuanza kufanya kazi Desemba mwaka jana, lakini Mkurugenzi mifumo ya malipo wa BoT, Bernard Dadi alisema waliamua kuuboresha kwa kuubadilisha na kuujenga upya.
“Mpango huo unatarajiwa kuwa tayari katika awamu ya kwanza Julai mwaka huu,” alisema Dadi.
Awamu hiyo itahusu biashara ya mtu kwa mtu.
Dadi alisema baada ya awamu hiyo ya kwanza, kutakuwa na awamu ya pili, ya tatu na mwisho awamu ya nne itakayohusisha ulipaji wa kodi na malipo ya jumla na mengineyo yatakayojitokeza katika masoko.
Pia, alisema, utekelezaji wake pia ulipangwa kuanza Juni, mwaka jana lakini kutokana na maambukizi ya virusi vya corona ulihifadhiwa kwanza.
BoT iliisitisha timu liyokuwa ikitekeleza mradi huo kutokana na maambukizi ya corona na kuanzisha timu nyingine.
Hata hivyo, baada ya kuundwa kwa timu nyingine mfumo huo haukuweza kuzinduliwa kwa muda uliotarajiwa yaani Juni na ulisogezwa hadi mwisho wa mwaka jana.
Maandalizi ya matumizi ya mfumo huo ambayo yatafanyakazi kupitia kadi za malipo, benki za simu, uchumi wa kidijitali na benki za intaneti, yalianza kufanyika tangu Juni 2018. Na matumizi hayo yalipangwa kufanyika kwa bidhaa za fedha na kwa watoa huduma.
Matumizi ya mfumo huo yanalenga kupunguza matumizi ya fedha tasilimu katika malipo na katika uchumi.
CHANZO: Mwananchi
Mwanzo kulikuwa na service provider,tra,tcra,sasa ameongezeka tena bot!! Yajayo yanashangazaTutakuwa Amna mtu wa kati hapo si unajua ukikatwa pesa yeyete ile kuna watu kama watatu wanagawana hiyo hela
Mbona hata sasa inafanyika hivyo?Hii ni rahisi kwani database za mitandao yote zitakua kwenye mfumo kwahiyo hakuna kuingiza namba wala kuchagua mtandao, unaweka jina lililosajiliwa la mhusika, mpunga unakwenda.
Wanataka tu nao wajimegee vijisenti vya wanyonge wanavyovipata kwa jasho na damu, wameona watu wakikimbia kaunta za bank na kuhamia viganjani kwa hiyo nao wameamua kuwatokezea hukohuko kmmk!! Na baada ya mi5 kuna mi5 tena!!
tatizo la mtanzania .ukiwekewa mfumo utaorahisisha huduma na pia usikoser kutuma tayar unaanza kuweka assumptions zako za kijinga.unaambiwa hapo gharama itashuka bado unakua na mawazo mgando.kwan aliyekwambia walikua hawapat sent hata katika hii mufumo ya awali nan?Wanataka tu nao wajimegee vijisenti vya wanyonge wanavyovipata kwa jasho na damu, wameona watu wakikimbia kaunta za bank na kuhamia viganjani kwa hiyo nao wameamua kuwatokezea hukohuko kmmk!! Na baada ya mi5 kuna mi5 tena!!
ulikua unaona raha tu kukenua meno. unarud block huku umebadilsha mwendo kipind boom limetema. full kuleta vurugu cafteria full kuagiza soda unakunywa nusu unaacha,kushuka town kulala lodge ijumaa unarud chuon jpl jion.utam wa boom.Wanufaika wa LOAN BOARD Tunatafutwa kwa nguvu zoteeee [emoji848]
ofcoz ndio suala la msingi. Kwa tunaoishi ughaibuni kodi tunailewa.bills every things ni kodi.salary zinakatwa kodi,kila kitu huku ulaya ni kodi ili kuweza kupewa huduma'KODi Kwanza'
Kinachoandaliwa hapo ni KODi
Soma gazeti la Mwananchi nduguHii taarifa umeitoa wapi? Iko shaghalabaghala sana