Mfumo mpya wa kutuma fedha kwa simu kuanza Julai

mmmh...sijawah kuamin mambo kirahisrahis hivi, ngoja tutajua nia ya zoezi hili.
 
Hii ni rahisi kwani database za mitandao yote zitakua kwenye mfumo kwahiyo hakuna kuingiza namba wala kuchagua mtandao, unaweka jina lililosajiliwa la mhusika , mpunga unakwenda.
Sasa kama silijui jina lake? Kumbuka Majina ulio seve namba za watu ni tofauti na jina aliosajilia
 
What if.. nina namba zake mbili na zote kasajili kwa jina moja... Na mlengwa anataka nimtumie kwa Vodacom... Nami nina namba zake za Vodacom na Halotel..??
Tuma mitandao mingine nadhani kuna hizo optional
 
"Ulipangwa kuanza Juni, mwaka jana lakini kutokana na maambukizi ya virusi vya corona ulihifadhiwa kwanza" Mwisho wa kunukuu.
 
Nitaka kuelewa zaidi, unatuma pesa kwa kutumia jina la mtu, sawa na hivi sasa tunatuma kwa kutumia namba ya mtu huku jina likija mwishoni sawa.

Sasa basi nini kitakuwa cha ziada kwenye kutuma kama mnavyosema 'utatakiwa kuwa na jina tu'?
Hii ni rahisi kwani database za mitandao yote zitakua kwenye mfumo kwahiyo hakuna kuingiza namba wala kuchagua mtandao, unaweka jina lililosajiliwa la mhusika , mpunga unakwenda.
Issue ni kuwa sasa hata pesa unayotuma kupitia tigo au vodacom bank nayo itapata chochote kutoka kwako, yaani umeikimbia bank halafu mbele unakuta bank inakusubiri, nalaabuk!!
 
Ukituma mil 1 wanakufuata wanakuuliza ulizitoa wapi? Ulizilipia kodi?
 
Ndilo lengo kuu!
Awamu ya 2-3, nahisi zitakuwa kukamilisha hizo taratibu, awamu ya 4, ina maanisha kila senti itapita kwenye huo mfumo, nje ya hapo biashara zawezatuhumiwa uhujumu uchumi!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Yajayo yanafurahisha...
 
kwani mi programme ya serikali haijulikani basi! ukitataka kutuma pesa lita load hilo app mbaka ujute...hahaha
 
Hii ni rahisi kwani database za mitandao yote zitakua kwenye mfumo kwahiyo hakuna kuingiza namba wala kuchagua mtandao, unaweka jina lililosajiliwa la mhusika, mpunga unakwenda.
Mbona hata sasa inafanyika hivyo?
 
Wanataka tu nao wajimegee vijisenti vya wanyonge wanavyovipata kwa jasho na damu, wameona watu wakikimbia kaunta za bank na kuhamia viganjani kwa hiyo nao wameamua kuwatokezea hukohuko kmmk!! Na baada ya mi5 kuna mi5 tena!!
tatizo la mtanzania .ukiwekewa mfumo utaorahisisha huduma na pia usikoser kutuma tayar unaanza kuweka assumptions zako za kijinga.unaambiwa hapo gharama itashuka bado unakua na mawazo mgando.kwan aliyekwambia walikua hawapat sent hata katika hii mufumo ya awali nan?
 
Wanufaika wa LOAN BOARD Tunatafutwa kwa nguvu zoteeee [emoji848]
ulikua unaona raha tu kukenua meno. unarud block huku umebadilsha mwendo kipind boom limetema. full kuleta vurugu cafteria full kuagiza soda unakunywa nusu unaacha,kushuka town kulala lodge ijumaa unarud chuon jpl jion.utam wa boom.
muda wa kulipa nao ulipe.kukopa Arusi kulipa matanga
 
'KODi Kwanza'
Kinachoandaliwa hapo ni KODi
ofcoz ndio suala la msingi. Kwa tunaoishi ughaibuni kodi tunailewa.bills every things ni kodi.salary zinakatwa kodi,kila kitu huku ulaya ni kodi ili kuweza kupewa huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…