Mfumo mpya wa ulipaji mapato ya Serikali umekuwa ngumu sana kwa Wananchi wa kawaida.
Nitoe mfano, kama Mfanyabiashara anataka kulipia leseni yake kwa mfumo mpya lazima umtafute mtu akusaidie taratibu zote mpaka control number itoke. Mfanyabiashara kwa kazi hii anatozwa mpaka 20,000 kwa kazi yote.
Tuchukue mfano mfanyabiashara ametoka kijijini amelipia nauli yake na inawezekana akalala kama utaratibu huu haukumalizika hizo zote ni gharama na mwisho anaambiwa alipie 20,000 ili taratibu za control number ikamilike.
Kwa nini kusiwe na mfumo rahisi ya kumuwezesha anayetaka huduma kutumia kuliko kuwatumia hawa madalali?
Waziri wa Fedha saidia tatizo hili. Wananchi wa kawaida wanaumia sana.