Mwalimu-Mkuu
Member
- Feb 22, 2013
- 75
- 202
Habarini wana bodi.
Thred hii iende kwa wazazi wote ambao wanajituma kwa mali na hali kuhakikisha kuwa watoto wao wanapata elimu yenye ubora na viwango kwa kuzingatia mafunzo muda wa ziada/tution.
Kwa muda mrefu nimeshiriki katika kutoa tathmini ya maendeleo ya watoto ya kielimu kama mtaaluma.Ni jambo lisilopingika kuwa kila mtoto anafundishika na pili kila mtoto ana namna yake ya kujifunza.Ni katika mtizamo huu huwa tunawashauri wazazi kutafuta mwalimu atakaepata muda wa ziada kukaa na kumuelimisha mtoto kwa kuzingatia kasi yake,namna yake ya kujifunza na kwa muda sahihi. Zoezi hili linafaa kuwa na tija.
Kwa kuzingatia mfumo wa shule kinachokosekana ni administration na tathmini tu-maana mzazi anaajiri mwalimu-part time,mtoto ni mwnafunzi,sebule-darasa.
Fikiria mazingira ambayo unamiliki shule na hakuna utawala wala ofisi ya mwalimu mkuu,hakuna syllabus hakuna mtaala yaani shule inajiendesha kwa mtizamo na uwezo,maoni ya mwalimu mmoja.anaandaa nini cha kufundisha,anaandaa maswali,anajifanyia tathmini na wewe kama mzazi unalipa tu.
Hali hii imesababisha hili zoezi kukosa tija ukilinganisha na matokeo wanayotoa mashuleni chini ya uangalizi wa mwenye shule + administration [Mwalim mkuu + mtaaluma].
Baathi ya shule zinazofanya vizuri za english medium zimelazimika kuanzisha kitengo cha ufuatiliaje wa karibu sana na mchakato wa tathmini ya matokeo umeongezewa uzito kupitia ofisi ya mtaaluma,mwalimu mkuu na mwajiri.
Kwa kipindi cha muda mrefu nimekuwa nikijiuliza kama mzazi nani atanisaidia kufuatilia hii huduma muhimu kwa mwanangu hasa katika masomo ya sayansi hesabu na Kingereza?
Naomba kuwataarifu kuwa online platform ya cbc education inatoa huduma hii ikiwa ni pamoja na kuwezesha watoto kufanya mazoezi online,mwalimu husika kupata maerials za kufundishia topic husika na mwisho wa siku mtoto kufanya maswali 25 ya topic ambayo atakuwa ameshafundishwa na mwalimu wake wa tusheni.
Kwa nature yetu waalimu huwa tunajituma zaidi tunapojua kuwa tulichokifundisha kitaulizwa na hatujui swali litatolewaje kwa upande mmoja na matokeo yataathiri ajira zetu.
wito kwa wazazi ambao watoto wao wanapata private tutions kwa english medium syllabus karibuni PM au nitafuteni whatsapp (0713133580) ili tumsajili mwanao katika system itakayokusaidia kufatilia huduma unayoipata kutoka kwa mwalimu.
Karibuni sana
Majukumu Mema
Mwalimu Mkuu.