Kwa changamoto ya kimtandao...Pole ya nn?
Mkuu kwenye sehemu ya mwaka wa kumaliza umeweka / au ?Shalom
Nafas za ajira zimetoka mfumo waliouweka ni kama pata potea namba yangu mwenyewe ya form four necta inagomewa. Hapo nimetoka kuhangaika nao sana kufungua akaunt mana password nimeiweka mm mwenyewe mchana kweupe na akili zangu zote kichwani na iligoma.
Mpaka muda huu niko kwa mganga simu nimeifukiza vya kutosha nishainyunyizia mpaka damu ya kuku lakini wapi. Nimesomea visomo hiki cha leo ni cha nne. Shida yenu hizi kazi tukose au vipi? Nyambaf kabisa! Shwaini
Anaejua format ya kuandika namba ya form four inayokubali pale aniambie mana nishaweka format zote lakini wapi. Ikishindikana na na leo najinyonga mana mbanga nishalipangilia mazingira limenielewq fresh.
Msaada wakuu
Swine Tena matusi,Ukipata kazi je!Shalom

Kwangu imekubali ila kufetch sasa vyeti vya academic vya chuo ndo inagomaYani Sxxxx-xxxx/2000 kama maelezo yanavyotaka na imegoma
Format ya kuweka index namba ipo pale pale sehemu unapojaza index namba, kaangalie vizuriShalom
Nafas za ajira zimetoka mfumo waliouweka ni kama pata potea namba yangu mwenyewe ya form four necta inagomewa. Hapo nimetoka kuhangaika nao sana kufungua akaunt mana password nimeiweka mm mwenyewe mchana kweupe na akili zangu zote kichwani na iligoma.
Mpaka muda huu niko kwa mganga simu nimeifukiza vya kutosha nishainyunyizia mpaka damu ya kuku lakini wapi. Nimesomea visomo hiki cha leo ni cha nne. Shida yenu hizi kazi tukose au vipi? Nyambaf kabisa! Shwaini
Anaejua format ya kuandika namba ya form four inayokubali pale aniambie mana nishaweka format zote lakini wapi. Ikishindikana na na leo najinyonga mana mbanga nishalipangilia mazingira limenielewq fresh.
Msaada wakuu
Sasa unataka kusema mm sijui namba yangu ya nida? Ni mchakato gan unatumika mpaka namba zangu za nida pale zinakataliwa kuwa zimekosewa?Wewe acha uongo pasword umeandika wapi wakati mfumo ndio unakupa pasword.
Format wameandika ukiandika unavyojua wewe lazima igome
Mtanzania unalalamika na kushindwa kuwa serious adi kwenye kitu kinachogusa maisha yako