Mh labda kama wamebadilisha maana ata wa Zimamoto Ilo tatizo waliwekaKwa mm sasa changamoto imekaa sawa nadhan mtandao wenyew ulichanganyikiwa tu. Nishatuma
Waliojaribu wamelalamika sana kuhusu hii changamoto. Labda kama wameshaitatua.Naomba mnisaidie lakufanya hapa kwenye Kaz za polisi
Hapo basi ww acha kuomba maana wahusika Wala awawajaliNaomba mnisaidie lakufanya hapa kwenye Kaz za polisi
Mwenyewe nimeacha kuomba sababu hiyo ,yani wamewekwa policy ya ovyo sana awajui kuwa Kuna deed pollWaliojaribu wamelalamika sana kuhusu hii changamoto. Labda kama wameshaitatua.
Otherwise itakuwa ngumu kufanya maombi.
Kazi ya unoko hii.
Niliikataa nilipewa mchongo miaka hiyo kitambo niende mkoa fulani ndugu yangu wa mbaaaliii alikuwa RPC.
Nikakataa katakata nikaingia mtaani kupambania kombe ( kujiajiri).
Ajira heshima mtaani.Mm mwenyew niliikataa sema mtaa umekaba naitaka tena.
kuna mdogo wangu namfanyia application bado inagoma ku add index numberPunguza jazba kuruti mwenzangu mtarajiwa. Mfumo upo vizuri tu na hauna shida yoypte. Ushauri wangu ni kuwa:
1.Tumia kifaa chenye kasi ya mtandao, usitumie simu kwani ile demo ya format ni ndefu sana hivyo inaonekata vyema zaidi ukitumia kompyuta.
Index no. Demo: xxxx-xxxx/mwaka uliohitimu
Ni ngumu kuiona katka cm hivyo kompyuta itakuonesha vzr.
Binafsi nilihangaika sana nilipotumia simu ila kwa PC ilinichukua dk 10 pekee.
Usichoke afande zingatia hayo tukutane kozi👮
Weka GB walau 1 mkuu na tumia kifaa chenye kasi ya mtandao mkuu. Na recommend PC yenye uwezo mzuri au kafanye stationary, jaribu bila kuchoka.kuna mdogo wangu namfanyia application bado inagoma ku add index number