Shalom
Nafas za ajira zimetoka mfumo waliouweka ni kama pata potea namba yangu mwenyewe ya form four necta inagomewa. Hapo nimetoka kuhangaika nao sana kufungua akaunt mana password nimeiweka mm mwenyewe mchana kweupe na akili zangu zote kichwani na iligoma.
Mpaka muda huu niko kwa mganga simu nimeifukiza vya kutosha nishainyunyizia mpaka damu ya kuku lakini wapi. Nimesomea visomo hiki cha leo ni cha nne. Shida yenu hizi kazi tukose au vipi? Nyambaf kabisa! Shwaini
Anaejua format ya kuandika namba ya form four inayokubali pale aniambie mana nishaweka format zote lakini wapi. Ikishindikana na na leo najinyonga mana mbanga nishalipangilia mazingira limenielewq fresh.
Msaada wakuu