A
Anonymous
Guest
Mfumo wa anuani za makazi (NaPA) una changamoto katika mchakato wa kuomba barua ya utambulisho. Tangu wiki iliyopita mfumo huo haujafanya kazi; kila unapojaza taarifa unaambiwa kuwa kuna hitilafu imetokea.
Pia, namba za msaada zinazotolewa hazipatikani, hali inayowafanya waombaji kushindwa kupata msaada. Tatizo hili linaathiri mchakato wa maombi kwa sababu huwezi kuendelea bila kupata namba ya NAPA.
Naomba suala hili lifikishwe kwa wahusika, kwani inaonekana watu wengi wanakumbana na changamoto hiyo.