Dungeon
Senior Member
- Feb 27, 2018
- 188
- 309
Mfanyabiashara umejipapatua unataka kujisajili ulipe kodi aisee ukienda kwa hao majipu wanajiita BRELA yani ni aibu.
Mfumo dhaifu, user experience mbaya na tunalipa pesa zetu yaani kama ningekuwa na mamlaka timu nzima ya TEHAMA Brela ningeifutilia mbali.
Makodi yenyewe yapo juu kwa uzalendo bado Mfanyabiashara hutaki kukwepa lakini unakwamishwa sasa mnatuchochea tufanye biashara bila kuwa na vibali na sio kama hatuwezi.
Tunaweza vizuri maana nyie mpo mnakuna vitambi tu maofisini nimekwazika sana nikiwa kama Mkurugenzi na mwanzilishi wa kampuni.
Pia soma:
www.jamiiforums.com

BRELA kufanya maboresho ya Mfumo wa Usajili kwa njia ya Mtandao (ORS) Disemba 20 mpaka 23, 2024
Wakuu, TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO ZA MFUMO WA USAJILI KWA NJIA YA MTANDAO (ORS) Dar es Salaam-19 Desemba, 2024 Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inapenda kuutaarifu umma na wadau wake kuwa inatarajia kufanya maboresho ya miundombinu ya mfumo wake wa usajili kwa njia ya mtandao...