BRELA
Member
- Dec 14, 2023
- 72
- 52
Habari, tumepokea maoni yako kwaajili ya kuboresha huduma zetu.Ahaaa BRELA mmefika huku hongera maana tulikua hatuna pa kutoa malalamiko kiasi kwamba muda mwingine kama binadamu wenye kushindwa uvumilivu tunatoa lugha ngumu kidogo,
Kiufupi angalieni matatizo ya wananchi na myapatie ufumbuzi ndani ya muda muafaka!
#Tanzania kwanza!