User experience ni Uzoefu anaopata mtumiaji pindi anapotumia mfumo, inajumuisha malengo na matarajio ya mtumiaji.
Tatizo langu kubwa nilitengeneza account nika proceed wakanipa baadhi ya document nika sign wakati nataka kupakia document kwenye mfumo nikatakiwa kulogin(huwa na save password) by mistake nikawa nimclick forget password aisee!!!
Hapo ndio matatizo yalipoanzia wanasema wametuma details za kureset password katika email? Lakini hamna kitu masaa zaidi ya 10 sasa nasubiria email yao nikijaribu kulogin kwa password yangu ya zamani inanikatalia