DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
Acha kabisa yani ila ipo siku tu inakuja, imeandikwa "wakimaliza kuwashambulia watageukiana na kushambuliana wao kwa wao"Ngumu ni mpaka mfumo wenyewe waamue kuchoka na mbaya zaidi CCM wamekaba mpaka kwa vitoto wanawamezesha itikadi zao kujilinda ,mavyuoni ni hivyo hivyo,ukiwa na ushawishi pia wanakufuata... Vyombo vya usalama wakuu wote watu wao yaani mkuu ni kazi.
Sijasema kwamba hajasoma. Nimesema hajui kuandika kwa ufasaha.Inawezekana na wewe ni msomi mnaojivunia usomi nchi hii
Swali kwako msomi
Inabidi mtu asome mpaka wapi ili aweze kuanzisha kampuni?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
mkuu kama una hela mbona una hulka za kimasikini,za kulalamika kama mdadaNifundishe kuandika vizuri pia nikukumbushe kitu kimoja sisi ambao hatuna Elimu ndio Mabosi zenu nyie wenye Elimu asanteni kwa kusoma ili mje mtufanyie kazi hustlers
changamoto zipo tu, wewe zitatue kwa namna yoyote tu. kama una hela toa mambo yako yaendeMnatengeneza changamoto ili tuwape rushwa?
Mkuu Kuna watu Wana Hela kuandika hawajui kabisa Sasa wewe unaanzaje kumshangaa CEO Huyu mpya wewe andika vizur wenzio wanataka Hela ?????'Mkurugenzi mwanzilishi' wa kampuni, na hujui kuandika kwa ufasaha!
Hao BRELA walikuwa sahihi kwa walichokufanyia.
Sasa si unaona ameshindwa kuelewana na BRELA!Mkuu Kuna watu Wana Hela kuandika hawajui kabisa Sasa wewe unaanzaje kumshangaa CEO Huyu mpya wewe andika vizur wenzio wanataka Hela ?????
Huwezi kuelewaNahusikaje na System Malfunction? Umekalia ubongo Mkuu?
BRELA inatoa huduma kwa MTanzania au kwa wanaojua kusoma na kuandika tu? Kwa hiyo Watanzania ambao hatuna elimu kubwa hatuna haki ya kuhudumiwa na BRELA?Sasa si unaona ameshindwa kuelewana na BRELA!
eGA hio SIO BRELLAMfumo dhaifu, user experience mbaya na tunalipa pesa zetu yaani kama ningekuwa na mamlaka timu nzima ya TEHAMA Brela ningeifutilia mbali.
eGA HAOMkuu nadhani utakasirika sana,hapo na bado hujaja sijui TRA ,TAUSI,KAMA UTAENDA NEST,yani Acha tu
Kuna mkurugenzi mmoja hivi jina kapuni ana shule kubwa tu na ina jina balaa, ila hajui kuandika na kusoma huwezi amini, anejipata tu sasa wafanyakazi wake wanampiga balaa wanamletea nyaraka na hajui kuzisoma Mungu muache Mungu aitwe Mungu kila mtu atainuliwa kivingine usikariri mambo hayapo hivyo'Mkurugenzi mwanzilishi' wa kampuni, na hujui kuandika kwa ufasaha!
Hao BRELA walikuwa sahihi kwa walichokufanyia.
Ulicheki spam folder kwenye email?User experience ni Uzoefu anaopata mtumiaji pindi anapotumia mfumo, inajumuisha malengo na matarajio ya mtumiaji.
Tatizo langu kubwa nilitengeneza account nika proceed wakanipa baadhi ya document nika sign wakati nataka kupakia document kwenye mfumo nikatakiwa kulogin(huwa na save password) by mistake nikawa nimclick forget password aisee!!!
Hapo ndio matatizo yalipoanzia wanasema wametuma details za kureset password katika email? Lakini hamna kitu masaa zaidi ya 10 sasa nasubiria email yao nikijaribu kulogin kwa password yangu ya zamani inanikatalia