Habari, tumepokea maoni yako kwaajili ya kuboresha huduma zetu.Ahaaa BRELA mmefika huku hongera maana tulikua hatuna pa kutoa malalamiko kiasi kwamba muda mwingine kama binadamu wenye kushindwa uvumilivu tunatoa lugha ngumu kidogo,
Kiufupi angalieni matatizo ya wananchi na myapatie ufumbuzi ndani ya muda muafaka!
#Tanzania kwanza!
Habari, tumepokea maoni yako kwaajili ya kuboresha huduma zetuoAhaaa BRELA mmefika huku hongera maana tulikua hatuna pa kutoa malalamiko kiasi kwamba muda mwingine kama binadamu wenye kushindwa uvumilivu tunatoa lugha ngumu kidogo,
Kiufupi angalieni matatizo ya wananchi na myapatie ufumbuzi ndani ya muda muafaka!
#Tanzania kwanza!
Ahsante sana, tunafurahi kukuhudumia.BRELA watu Wazuri sana ndugu Yangu
Habari, tumepokea maoni yako kwaajili ya kuboresha huduma zetuoAhaaa BRELA mmefika huku hongera maana tulikua hatuna pa kutoa malalamiko kiasi kwamba muda mwingine kama binadamu wenye kushindwa uvumilivu tunatoa lugha ngumu kidogo,
Kiufupi angalieni matatizo ya wananchi na myapatie ufumbuzi ndani ya muda muafaka!
#Tanzania kwanza!
Habari, tunaomba kufahamu changamoto ambayo umekutana nayo katika mfumo wetu kwaajili ya msaada zaidi.Bado Mfumo wa brella ni CHANGAMOTO
E- service ni tatizo zaidi
Habari, tunaomba kufahamu changamoto ambayo umekutana nayo katika mfumo wetu kwaajili ya msaada zaidi.Brella mmepewa dhamana kubwa Sana kwenye uchumi wa nchi
Itunzeni dhamana hiyo