Mfumo wa BRICS+ wapongezwa na nchi za Afrika

Mfumo wa BRICS+ wapongezwa na nchi za Afrika

Maliza kwanza stress na matatizo Yako ndo uweze kuja kuchangia haupo sawa au kama una mikopo kausha damu maliza kwanza hayo madeni nikupe hii Kwa kifupi kwamba Bidhaa tunazo tumia hasa developing countries Kwa maisha ya sasa ni zaidi ya 90% zinatoka BRICS eg mabasi mengi ni Chinese brand, vifaa vya umeme, spare parts, electronics etc vingi kutoka china na pia upande wa madawa iwe ya binadamu au pembejeo nyingi ni Chinese or indian brands ambazo ni kutoka BRICS
Vyote hivyo ni under Western imperialism license! Unajua chips zimegunduliwa na nani? ..mwenye patent ni nani
stupid of you!
 
Wapuuzi hamzalishi chochote kujitosheleza, mtamuhitaji USA kununua vitu kwake muweze ku-survive, atawatoza kwa dola. CT Scan, MRI mtaipata wapi bila dola?

WAJINGA WANAKUTANA KUJADILI UJINGA NA WAKITOKA HAPO NI KUKUBALIANA KUTOKUBALIANA
Soko tunalo
 
Ni bidhaa gani za maana zinatoka US kuja Africa?Unasahau kuwa karibia asilimia 90 ya bidhaa za Africa zinatoka Uchina na Asia
 
Na kitu kilichonishangaza zaidi ni Soud Arabia ilivyoweza kujiunga na Brics,yaani nchi iliyokua ikipendwa na USA kwa sababu za kiuchumi,Leo imehamia kambi nyingine.
Hili ni pigo kubwa sana kwa USA.
Pia china na pengine Urusi walicheza karata zao kwa akili sana,kwanza waliamza kuwapatanisha Iran na Soud Arabia,kisha wakaziingiza zote mbili,lkn moja ambayo imeiumiza sana USA ni kuachwa na mshirika wake kipenzi w middle east, Soud Arabia.
Wamebakiwa na Israel
 
Back
Top Bottom