Mfumo wa counties wa Kenya ni mzuri sana

MK254

Ok for the sake of discussion let us move on.So according to this model if poverty index is high and population is high then that can be one of the considerations to get more budget than others.But poverty is subjective.

Some areas for instance in my country are poor not because they don`t have equal opportunities like others but they are poor because they are lazy compared to other areas.And you will agree with me that poor people produce more children than rich people.

So definetly at the end of the day you will find that population and poverty index is high in areas where lazy people live..Don`t you see that this is unfair to reward such kind of people with bigger budgets than those who are not lazy,who have been working hard for years? you take somebody`s sweat and give to a lazy person so that both become equal?
 
Last edited by a moderator:
East African Eagle

Wewe kwa kweli unaongea kileusichkijua. Ungekuwa mtu mwenye hekima ungeuliza. Katika nchi ya Kenya, kuna tume inayoitwa Commission of Revenue Allocation. Kunazo sehemu ambazo zimeendelea, kunazo ambazo zina idadi kubwa ya watu, na kunazo kaunti ambazo ni kubwa (kwa landmass) - Mara mbili unusu size ya Rwanda. Hata hivyo, Idadi yake ni kidogo sana. Karibu Milioni moja. Unauliza penye capital itatoka? Capital itatoka serikali kuu. Wakati wa mwisho nilipoangalia, huu ndio ulikuwa mtindo wa kugawa pesa:

25% basic allocation (Kila mtu anapat equal amount,) , 45% by population , 20% by poverty, 8% by land area and 2% by fiscal responsibility.

WAweza kuniambia ukabila upo wapi hapo? Tatizo la watu wengi ni kufikiria kuwa Kenya sijui tunachinjana au nini? Hehe...

Mleta mada ameguzia jambo la maana; maji. Tangu hapo uhuru, tuliahidiwa kuwa kila mtu ataweza pata maji ya mfereji by 2000. 2000 ilikuja ikapita. Hivi majuzi Dr. Alfred Mtua kwenya kaunti lake ashafanya water mapping na nia yake ni kuhakikisha kila mtu amepata maji katika nyumba yake. Amenunua mashine ya kuchimba visima kutoka kwa bajeti ya kaunti yake. Je, ukabila uko wapi hapo?
 
Last edited by a moderator:
East African Eagle

My goodness...wewe kweli unajua ambacho unasema?

1. Uwongo sana. Hiyo ni propaganda.
2. Uwongo wa pili. Pesa ikikopwa na National Government, serikali kuu, italipwa na National government. Kuna serikali mbili. National NA County. County Govt. ikikopa, hiyo ndiyo italipa.
3. Kwani unataka Reccurrent expenditure ipitishe county revenue? Is that good fiscal management? Unaweza kopa pesa ili ulipe madaktari? Hahaha..banaa...ningekuomba usome kuhusu unachoongea kwanza.
 
Last edited by a moderator:
MwendaOmo

Kumbe ni majina tu.Zamani si kulikuwa na national government na local government? Mlichobalidilisha ni nini kama sio majina tu kama ni Hivyo.Kuwa badala ya kuita local government mnaita COUNTIES.Chai ile ile ila kwenye vikombe vya rangi tofauti.
 
Last edited by a moderator:
East African Eagle

The biggest reason why some counties in Kenya are undeveloped is because of marginalization since independence. Successive regimes never bothered with these people for years, it's until we changed the constitution did we begin seeing them come to limelight, by people managing their own priorities within their counties. This is the best thing to happen to Kenya.

There were always talks about Majimbo since independence, but the model proposed back then was not in good spirit and efficient as the one we have now, since they wanted to divide the country along the same colonial and tribal borders. But the current system is very efficient, we are having counties seeing tarmac roads for the first time and other goodies.

Tanzania is huge, managing it is such a huge task, you need to consider this form.
 
Last edited by a moderator:
 
East African Eagle


You have to deal with the situation the way it is. you cannot blame a population for their laziness and overpopulation in the past, instead the previous regimes are to blame for failure to educate them on those matters.

Once the funds have been allocated to a county, the national gorvenment acts as a watchdog. it has the powers to completely dissolve a county gorvenment if in any case those funds are misused.

Besides that, every county gorvenment has a legislative arm (the MCAs) who discusses the best way those funds are supposed to be used.
 
Last edited by a moderator:
East African Eagle
Ndiyo maana nikakuambia hujaujua vizuri huu mfumo. kwa huu mfumo kenya wataendelea kwa kasi ya ajabu sana. nyerere aliwahi sema watu wamjini wananyonya wa vijijini. serikali inakopa pesa na kujenga lami, hospitali na ishu zingine dar. tunalipaje hilo deni? utahitaji uexport upate dola ndiyo ulipe. unaexport nini? kahawa toka mbinga na pamba toka shinyanga.

utaona mkopo unamnufaisha mtu wa dar ila analipa wa mbinga. kwenye mfumo wa sasa wa kenya hakuna huo ujinga. unahabari serikali imekopa $300m kuboresha miundombinu dar?
 
Last edited by a moderator:
 
MwendaOmo

Kupata dola si lazima u-export kitu.Nadhani ulisoma uchumi wa enzi za akina Adam SMITH ambao hata nyerere ndio alisoma enzi hizo.
Nadhani dar huijui.Dar hizo dola milioni 300 ni kitu kidogo mno kwa dar kulipa.DAR ina bandari inaingiza mamilioni ya dola kila siku Kwa kodi na ushuru wa bidhaa na mafuta ziendazo nchi jirani n.k KUNA Airport,kuna maviwanda kibao.Yote yanaingiza dola kibao.

Unasemaje mkulima ananyonywa wakati analipwa chake na mnaachana.
 
Last edited by a moderator:
East African Eagle
Umeniquote Kimakosa. Hebu angalia post niliyoweka. Hata hivyo, usijali kujibu kwani naona tayari ni kupingana tu unataka. Unachanaanya hoja nyingi ambazo hazihusiani hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
East African Eagle

How can one person be this so stupid? Is the US $ teh currency for TZ? How will you get dollars if you do not export?-manafacturer them?

Trying to have a discussion in JF will easily lead to once loss of IQ equivalent to 10% per day!
 
Last edited by a moderator:
Guest from Wazua

You are welcome to Tanzania.Don`t be surprised when you are asked to pay your annual house rent or office space in DOLLARS ONLY.Not everybody needs to manufacture and export.
 
Last edited by a moderator:
East African Eagle
Gosh, you should be ashamed of your stupidity and ignorance.

Tanzania doesn't manufacturer dollars it has to export goods or services for it to get dollars.

I bet that you not know that tourism is an export service.

The foreign reserves held by a country indicate the trade deficit/surplus of a country.
 
Last edited by a moderator:
Guest from Wazua

Yaap you have talked like a great academician.

You deserve to be a professor at the University but you don`t deserve to be a Business owner or business consultant with that kind of knowledge you have.
 
Last edited by a moderator:
yaap you have talked like a great academician.You deserve to be a professor at the University but you don`t deserve to be a Business owner or business consultant with that kind of knowledge you have.

Great!

You do not deserve to live,you are an embarrassment to the human race
 
Kenya wanaita County sisi TZ tunaita Local government Authority ambayo inaendeshwa na local councilors.tofauti TZ tuna mkuu wa wilaya sijui Kenya wanamwita nani.Ukabila TZ tuna bahati kidogo kwani hata Muhindi anagombea popote na anapata ubunge sijui kenya kwa hili.
 
Imapro
Tofauti siyo majina, tofauti kubwa ni mamlaka ilizopewa wilaya na counties.
Local goverments kwa tanzania ni kama muendelezo wa serikali kuu wakati counties zina mamlaka makubwa sana.
 
Last edited by a moderator:

Uliekwa ili kudhibiti usambazaji Wa rasli Mali coz kuna maeneo yalio sahaulika kimaendeleo sio sababu za ukabila
 
Last edited by a moderator:

mbona wabunge wahindi wapo Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…