AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Mzazi unaweza unaweza ukajitahidi ukamlea mtoto katika maadili mema...Ila uhuni na utaahira...Ataupata shuleni...Shuleni ni sehemu kuu ya kuharibu watoto kitabia na kimaadili...
Mimi ninafanya shughuli ya kukaa watoto kabla ya kwenda mashuleni...Tunawatengeneza vizuri tu kitabia na kimaadili...Ila akifika shuleni miaka kadhaa tu...Kiburi...Uhuni...Matusi...Ukosefu wa adabu wa watu wakubwa...Na mengi ya uchafuzi wa maadili yanaanza...Nimefanya research...
Nimegundua walimu wa sasa waliopo mashuleni...Suala la malezi ya mtoto kimaadili kwao sio kipaumbele...Wao wanafundisha inglishi tu...Hisabati tu...Sayansi ya kuchora panzi...Na namna ya kubana chuchu na kuvisha condom...
Suala ya tabia na maadili ya mtoto haliwahusu...Hii ndio madhara ya ukosefu wa wito...Mtu aenda kufundisha kwa kujihakikishia ana ajira na pesa inaingia kila mwisho wa mwezi...Hebu tazama haya...
Pili...
Mfumo wetu wa elimu ..Ndio chanzo cha umaskini kwa kizazi cha leo na cha kesho..
Kwa sababu hakuna cha maana kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumi utajifunza shuleni...Ukatumia nje ya shule...Ukayamudu maisha bila kuajiriwa...
Hata kile unachojifunza ili ukaajiriwe...Sio kile unachoenda kukikuta mahala pa kazi...Ulichopatia cheti kingine...Unachofanyia kazi kingine...
Si bura ungeenda moja kwa moja mahala pa kazi ukajifunze hiyo kazi...Na ufanye kuliko kupoteza muda miaka takriban ishirini(20) kusoma upuuzi...
Mbaya zaidi serikali inapinga mabint waliobaleghe wasiolewe...Ila wao ndio wanaowapelekea kondom mashuleni na kuwafundisha namna ya kufanya ngono salama...Serikali inashiriki katika uharibifu wa jamii yake yenyewe...Alafu baadae serikali inarudi kwa viongozi wa dini...Eti watengenezeni waumini wenu...Eti tusaidieni viongozi wa dini kuitengeneza jamii...Eti matukio ya ukatili na unyanyasaji yamekithiri...
Yaani serikali ilikaa na mtu toka utotoni wakamharibu muda wote huo...Hamkumpa hata muda kiongozi wa dini amtengeneze kuanzia chini...Alafu ukubwani ndio aje kurekebisha pale mlipoharibu nyie...
Serikali...Acheni kujitia uziwi...Mnatuharibia kizazi...Bora mtuache tuishi kama wamasai...Tuwafundishe watoto wetu yale tunayoishi nayo...Yenu ni machafu...Nimechoka...
Ref: panya road ni vitoto vilivyo hitimu darasa la saba.