Mfumo wa elimu wa nchi yetu si salama kwa kizazi cha kesho. Ni hatari mno. Hebu tazama haya

Mfumo wa elimu wa nchi yetu si salama kwa kizazi cha kesho. Ni hatari mno. Hebu tazama haya

Wanaotengeneza hii mifumo...wala hawajui wafanye nini...in case...mambo yakiwa tofauti...ovyo ovyo...mambo wanayaacha in suspense...

Natamani mwanangu...nimpeleke kwenye ufundi kuliko kupoteza muda kusoma LOGARITHMS...
Bila logarithm usingekua una type hapo.. bila log usingepata maji leo.
 
Mtoto anaemaliza form 4.Kisha akatupwa gerezani kariakoo au tabata dampo, au temeke akacheza na vyuma miaka 3 akapata menta ( life coach) mzuri then ukamfungulia ofisi yake ukampa vifaa vya kisasa kama mzazi utakuwa umetua deni kubwa Sana maishani kuliko kutupa pesa kumpeleka Chuo akaishie kumiliki smart phone arudi mtaani kutembeza bahasha.
Wahitimu vyuo vikuu wameshauriwa na eti waende VETA. Nchi hii haiishi maajabu
 
Na hatari kubwa inatoka pande za English Medium na Boarding!
Huko yanazalishwa 'maroboti' yasiyotambua hata lugha ya maisha
 
Mimi nawaza hizo clip Tu,watoto wa kibongo wanaimba upuuzi mtupu,lkn cheki wachina na wazungu wakiwa wadogo wanatayarishwa kuja kuyamasta mazingira mapema sana
Eti watoto wanaimba upuuzi kaka yao anachezea kwapa.
Haya yapo Afrika bara ambalo liliitwa bara la giza
 
Back
Top Bottom